Mke wangu ananinyima tunda, natafuta mpenzi mtu mzima kwa mahusiano ya kujengana kimapenzi na maisha



😃😃😃😃😃
 

Wee jamaa utakuwa unatafuta suger mummy sio bure yani unamiaka 30 unatafuta kuanzia 32 alafu mjenge maisha?
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! 😇

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! 🥰
Mgambo na kirungu😂😂😂 mapenzi ndiyo kila kitu vitu hivo nyumba na vitanda hata chini tunalala babe, kibabu changu😂
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! 😇

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! 🥰

🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hajui mwaka huu unatimiza umri wa miaka 52 huku mimi baby wako nikitimiza miaka 75!!! [emoji56]

Chakushangaza tu, hatuna nyumba wala kitanda!! Ila tunapendana kama Mgambo na Kirungu!! [emoji3059]
Mkuu unasemaje[emoji848]..mkeo huyu?.Hapana,labda mchepuko

Unajua Mimi nimepewa kazi ya kumlinda na nimekula kiapo cha utiifu!!?.Mkuu kuna mtu anahudumia hapa
 

Kabla ya kutafuta huyo mtu mzima hebu tuambie kwanza, wewe binafsi unawajibika ipasavyo kama mume?

Au unafikiri maana ya kuoa ni kukulana tunda peke yake?

Maandalizi ya tunda yaanaanzia kwenye ubongo, kama hamjajengeana utayari au kama mwenzio ako na stress tunda haliliki..... ukilazimisha utaishia kum-baka tuu

Nionavyo mimi usitafute mbadala kabla hujajua mzizi wa tatizo
 
Akashangaa siku 3 zinapita nipo tu sili wala sinywi nikitoka dakika 5 najiacha mama ntilie. Siku ya nne gesi ikakata nikasema ewaaa.
😂😂😂
Mkuu, hii technique yake imeenda shule
 
Mkuu kuhusu kazi si tatizo kwangu nimejiaajiri nafanya usafi na natengeneza dawa za kung'arishia Tiles na Masink na pesa hainisumbui nilicho post hapo ni kuungana na vijana wenzangu ili tujenge team kubwa na uzalishaji uwe mkubwa tufungue kiwanda cha umoja si kwamba sijiwezi.
Hizi ni mfano wa kazi zangu nnazo fanya za kung'arisha Tiles zilizo na uchafu sugu
Picha za Kabla na baada ya kusafisha na dawa natengeneza mwenyewe ambapo pia nauza kwahyo hiyo hoja yako si sahihi mtu kutafuta watu kuungana si kuwa hana kipato
 
Okay Mkuu all the best.

Nipo natafuta ugomvi hapo kwako nimefeli aisee.

Acha nisake sredi ingine🤣🤣
 
Mkuu dakika tano nilizoongelea sio za kushusha wazungu soma vizuri. Anyway siku ukilea watoto wa mwanaume mwenzio ndo utanielewa nachomaanisha.
 
Mkuu dakika tano nilizoongelea sio za kushusha wazungu soma vizuri. Anyway siku ukilea watoto wa mwanaume mwenzio ndo utanielewa nachomaanisha.
Watoto wawili tayari nnao kwa sasa na wote tume zaa naye tangia tuna anza safari yetu ya maisha na wote sura ya baba hakuna kuibiwa wote chata yangu
 
Wewe shida yako ni moja tu huna hela sasa mje kama kakushinda mkecea njee utamuweza? Waulize wabaume wenye michepuko humu wakupe ukweli.

Kama huna hela mkeo ndo anaweza kukuvumilia tu, ila mchepuko sahau.mchepuko anachokitaka kwako ni kumtimizia kila kitu je uko tiyari.

Umezunguka sana haiwezekani eti mkeo anakunyima tunda bila sababu.

Hivi unadhani walosema pesa ni sabuni ya roho walikuwa wanadanganya?
 
Sina tatizo la kiuchumi mimi ni mjasiriamali nafanya shughuri zangu za uhakika na nna nyumba yangu nime jenga kwahyo kwa hoja yako si kweli nna uhakika wa kuingiza pesa kila siku
 
Mbona unatetereka na sababu ndogo sana hiyo usijipe tabu kwa mwanamke wa aina hiyo kaa kiume acha kulia lia
 
Ukute unanuka mdomo halafu unampandia tu bila maandalizi yoyote. Kiufupi unaboa humvutii kwa chochote, kafubaa hata chupi humnunulii, unahudumia familia ipasavyo kweli? Yaani una mambo mengi yanaboa ukute mbabe mbabe bila sababu.
Jamani mi bado nina usingizi narudi kulala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…