Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Mama D Mimi ni Mume tena kipanga.
Mwenyewe tu ameamua kuninyima mzigo.
Nakubaliana na wadau wanaosema upendo ni 0.0%
 
Mama D Mimi ni Mume tena kipanga.
Mwenyewe tu ameamua kuninyima mzigo.
Nakubaliana na wadau wanaosema upendo ni 0.0%

Hatari sanaaaa

Sijui imani yake lakini mpatie haya maagizo ya Mungu hapa yanaweza kumsaidia

1 Wakorinto 7:4-5
Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.
Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwasababu ya udhaifu wenu.
 
Huyu ni wa kupiga chini lwa taratibu za kifamilia.. Anza kwanza vikao na ndugu zake
 
Hayo ni matokeo tu lakini Je umetafuta kujua hali hiyo ya kukunyima unyumba imesababishwa na nini ili ushughulikie chanzo badala ya matokeo?
 
Kutafutiwa mke siyo sababu pekee ya hayo yalotokea.

Kuna watu wameunganishwa na watu na wanaishi vizuri kwa nje sijui huko ndani.
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Pambana na Hali yako unafanya maamuzi kwa mihemko
 
Hapo utakuta kuna kubwa linapewa vyotee kiulaini
Ndio inavyokuwaga😅 wakati we unafosi upewe mbunye kuna msela anaipiga tena analazimishiwa kupelekewa kila saa mpaka ameichoka.

Siku akienda hajaliwa ndio anakuletea wewe upambane kumtoa genye ila hisia zinakuwa za mkopo😅
 
mimi wangu nilimpata kwa njia kama yako, na kwa yanayo kupata nikama yakwangu tu, yani ni tabu nanimeshindwa nafikili kumpa uhuru wake tu mana ni balaa

Sent from my SM-S920L using JamiiForums mobile app
Mnaoaje kimila karne ya 21 hii? Mila ni kumfuga mwanamke kwa mwaka au zaidi akieleweka unalipia! Sio unataftiwa mwanamke humjui hakujui wala hajakupenda lazma moto uwake.
 
Kwanza pole kwa yanayoendelea kukuta, huwa najiulizaga tu hao watu mnawapataga wapi!? Jbu huwa nalikosa

Kunakuwaga na kile kipind cha uchumba, ili kupata kujua tabia za mwenza wako.....nahs huwa hakisaidii pia.

Mpka hapo jbu n kwamba huyu mkeo hakupendi, lkn pia sku zote mwamba ngoma huvutia kwake. Tungepata na mawili matatu kutoka kwa mshtakiwa(mkeo) ingekaa poa.
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Aseee kumbe hiz mambo bado zpo, n her uchague mwnyewe kuliko kuchaguliwa! Pole sanaa
 
Ndio inavyokuwaga[emoji28] wakati we unafosi upewe mbunye kuna msela anaipiga tena analazimishiwa kupelekewa kila saa mpaka ameichoka.

Siku akienda hajaliwa ndio anakuletea wewe upambane kumtoa genye ila hisia zinakuwa za mkopo[emoji28]
Dah haya mambo n changamoto mnoo adse
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…