Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Hahahahah wanawake huwajui wewe, mwanamke anaeza akakufyatua tu as jinsi anavyojiskia anytime anywhere.

Imagine mtu kasafiri kakupigia mnaongea unaliza kafika wapi, anakujibu mnaongea freshi. Kwa upendo tu wauliza mtoto vipi hasumbui kulia lia...

”Ungetaka kujua si ungepiga simu?”

Kwa kauli kama hio ilioulizwa ka tone ya kejeli unakuwaje na furaha.
 

Huyo sasa sio mwanamke Ni kichaa Na siwezi ishi naye hata week 1.
 
Hayo maandiko unayatumia au nawewe ni motivesheno spika maana kwa uzoefu makungwi wengi na marriage counsillors wao ndoa zimewashinda😅
 
Anza Kwa Kuongeza Jitihada Kuwa Imara Financially.

Huyo anaweza kuwa na stress za maisha kile alichotegemea kukipata kutoka kwako anaona bado hajapata.

Stress zinaondoa hali ya mtu kutamani kufanya tendo la ndoa.
 
Nimeshamrudisha kwao. Ila akiwa pale nyumbani siku Moja kabla ya kuondoka alikuwa anaongea Sana Mama ake. Aisee Mama ake amechangia Sana binti yake kuvunja muunganiko huu. Mama mtu ndo ameshikilia remote anam control binti atakavyo. Nimesemwa Sana nimesemwa Mimi... Eti Mimi mzee (But am 29) Nimesemwa nazalisha watoto wa watu nawaacha ( kisa nilizaa na Beki tatu wa home kitambo Sana) hajawahi kunipenda ananiigizia tu. Yeye hana hasara kwasababu shughuli kubwa ilifanyika kwetu na gharama ilikuwa kubwa. Hayo ni Maongezi ya aliekuwa mke wangu na Mama ake Mzazi. #Nimechoka kabisa.

Asanteni Sana kwa Ushauri wenu.
NB: Never allow the same 🐍 snake bites you twice.
***************************
 
Bora umeepuka kujitwika tena gunia la misumari kichwani kwako.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Apo nimekuelewa,mpende akupendae asie ķupenda achana nae,kila shetani na mbuyu wake
 
Hana hisia na wewe kwasababu hauna sifa za wanaume,

*sifa ya kwanza ya mwanaume ni kujiheshimu na kuheshimika,

*sifa ya pili ni msimamo / mwanaume hayumbishwi na msimamo ,

*sifa nyingine unayokosa ni kujiamini , haujiamini .

Sio makosa yake kukoasa hisia za kimapenzi na wewe kwasababu umekosa zile sifa muhimu ambazo inapaswa mwanaume halisi awe nazo

badala yake umekuwa mtu wa kulia lia na kubembeleza 24/7 una lilia penzi upo desperate vibaya mno!

Anayafanya yote hayo kwasababu anajuwa fika hakuna jambo lolote utaweza kumfanya and she doesn't even care...!


Achana naye jipange upya kaa chini utafakari ni wapi ulipokosea .. makosa mengi nishakueleza hapo juu

Hujiamini, huna msimao, hujiheshimu...

*Kutokujiamini kwako kunamfanya mwanake awe
Dominant kwenye mahusiaon yenu ...

na ndio maana unaona anakupangia hadi muda wa sex pamoja na masharti mengine ambayo hujayaandika hapa laikini najuwa yapo!

*Kutokujiheshimu kwako ndio kunamfanya akose heshima na kukujibo hovyo hovyo!


*kukosa kwako msimamo kunakufanya ushindwe kujuwa nini cha kufanya au hata kama unajuwa huwezi kufanya maamuzi

Hii ina mpa jeuri kukuendesha wewe atakavyo!
 
Ndio inavyokuwaga😅 wakati we unafosi upewe mbunye kuna msela anaipiga tena analazimishiwa kupelekewa kila saa mpaka ameichoka.

Siku akienda hajaliwa ndio anakuletea wewe upambane kumtoa genye ila hisia zinakuwa za mkopo😅

Sure tuishi nao kwa akili sana!!!
 
Pole sana.
 
Hayo maandiko unayatumia au nawewe ni motivesheno spika maana kwa uzoefu makungwi wengi na marriage counsillors wao ndoa zimewashinda😅


Mimi sio motiveshenospika, kwa swala la ndoa sex ni chakula kingine cha mwanaume toka kwa mke wake. Kwanza mimi nimnyime kwa sababu ipi mfano?
 
Uchumba wa level ya degree![emoji28]
Mkuu Mimi mke wangu tunajuana vizuri huu mwaka wa 17 na tumebahatika kuwa na watoto watatu hatujawahi kukalishwa na mtu yeyote kwa ajili ya kutusuluhisha. Siyo kwamba hatukwaluzani,tunakwaluzana mara kibao
 
Sifa nyingine ya mwanaume wa zama hizi ni kutumia viungo vyako ikiwemo mdomo kutafuta/kutongoza siyo wanakuletea,watakuletea na ngedele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafuta hela, heshima itarudi. Hapo kuja kijeba kinamkuna hadi hana hamu na wewe. Amka kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…