Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Pole boss.
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.

Anhaaaa okeyy wakubwa zenu ee
Sawa
 
Duh hii ndio JF atakoma mwenyewe!
 
Siku akikupa K piga gegedo la kufa mtu utakuja kuleta mrejesho
 
ushauri wangu tafuta pesa achana na kusikiliza majungu na matatizo ya watu.
Maisha ni mafupi sana brother usiruhusu mtu akuondolee amani yako, jiamini
 
Umepigwa na kitu kizito!!! ushauri: spea Tyr kwenye magari zina maana kubwa sana. Jiongeze basi....
 
Mkuu Mimi mke wangu tunajuana vizuri huu mwaka wa 17 na tumebahatika kuwa na watoto watatu hatujawahi kukalishwa na mtu yeyote kwa ajili ya kutusuluhisha. Siyo kwamba hatukwaluzani,tunakwaluzana mara kibao
Hahahahahahah kukwaruzana lazima sababu kuna point lazma mpishane kama binadamu sema tu uungwana ndio unawafanya msameheane
 
Mimi sio motiveshenospika, kwa swala la ndoa sex ni chakula kingine cha mwanaume toka kwa mke wake. Kwanza mimi nimnyime kwa sababu ipi mfano?
Si unaona show kali yani😅 unaamua umkomoe mjuba tu bila kujua ukimnyima atamtafta mwenzio atakaempa muda wowote akitaka
 
Umeoa mke wa mtu,kuna mlezi wa mkeo yuko anapewa mzigo kma wote
 
Zingatia ushauri huu: Mwache kabla hujapigwa na kitu kizito kichwani.

Mwache haraka, usipozingatia huu ushauri utakuja kuokota makopo ofisini kwetu nikutoe nduki
 
Eeeh jamani....mungu anijaalie mke wangu asije leta ujinga huo nitapiga niuwe...ng'ombe weeweeeeeeee
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Hapa ndo kwenye kiini cha matatizo yote
 
Mkuu pole kwa unayopitia! Jambo la kwanza washirikishe washenga wako na wazee wa pande zote mbili , katika kikao hicho eleza kinagaubaga bila kuficha kitu jinsi anavyokufanyia! Pia weka wazi kuwa ujmechoshwa ni hivyo vimbi vyake na weka wazi kuwa hautakuwa tayari kuendelea kuishi nae katika tabia hizo!

Akiendelea na tabia hizo chukua uamuzi mgumu, ni bora kuacha njia na kurudi kuanza upya kuliko kuendelea mbele katika njia ambayo unajua kabisa umeshapotea lakin unataka kuendelea nayo sababu tu umeshasafiri umbali mrefu!

Hizo mahali ambazo umeshamlipia zisikufanye wewe ujing'ang'anize kuendelea kuteseka kama hakupi unyumba na bado hakuheshimu basi hiyo ndoa yenu kuna shida kubwa sababu hata mahakamani kumnyima mwenzako unyumba ni kosa linaloweza kupelekea uhalali wa kuvunjwa kwa ndoa husika!
 
Kuna mjeba wa nje anampandisha mpaka mwisho wa mlima Kilimanjaro. Wewe labda ni kama boya kwake. Hebu jitahidi kupeleka moto kwa Kasi tuone itakuwaje.
 
Hivyo ndivyo ndoa nyingi zilivyo..huko ndoani watu wanapitia mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…