Mke wangu ananinyima unyumba, haniheshimu na anatoa siri zetu za ndani kwa nduguze

Na wewe onyesha mabadiliko ,akikuletea dharau usionyeshe reaction yeyote ,usiumie Wala usikarike...ukifanya hivyo itakuwa kama unamfundisha siraha ya kukujeruhi
 
Hapo mwisho umetaja ukweli wenyewe. Huyo si wa kujenga familia. Yupo kwako kimaslahi na ndio maana anakwambia hana haraka ya kuzaa. Hataki kujifunga na wewe kwa mtoto sababu hana ndoto za kuzeeka na wewe.

Binadamu wabishi sana...

Atakuja kuelewa ikishakuwa Late
 
Pole sana mkuu
 
Na wewe onyesha mabadiliko ,akikuletea dharau usionyeshe reaction yeyote ,usiumie Wala usikarike...ukifanya hivyo itakuwa kama unamfundisha siraha ya kukujeruhi
 
Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
📌📌Huna akili domo zege wewe pumbavu!!!

Demu anashenyentwa na wajanja. Wewe kiazi mviringo huna experience na wanawake ulikimbila nini kuoa???!!!
 
Huna mke, piga chini huyo ndezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…