Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mwisho umetaja ukweli wenyewe. Huyo si wa kujenga familia. Yupo kwako kimaslahi na ndio maana anakwambia hana haraka ya kuzaa. Hataki kujifunga na wewe kwa mtoto sababu hana ndoto za kuzeeka na wewe.
Pole sana mkuuWasalamu wakuu.
Ni hivi, huyu binti kanichosha.
Tukiwa kitandani usiku ana vitimbi sio poa. Nikimgusa au kumtomasa ananitolea kauli za ajabu. Mara utasikia “wewe hebu niache”, mara “mambo gani hayo mi sitaki”.
Wakati mwingine nikimshika anaukamata Mkono wangu na kuurusha kutoka kwenye mwili. Nambembeleza sana lakini wapi naambulia Mzungu wa Nne!!
Imefika muda namwambia you are not romantic hata kidogo eti kunipa utamu mpaka ajisikie mwenyewe ndo utasikia haya leo tufanye sasa.
Juzi nilimtumia meseji nzuri ya Mahaba jinsi ninavyoikubali K yake huku nikimuelekeza jinsi ya kufinyia kwa ndani binti akanijibu "Hivi wewe ni mjinga umechanganyikiwa" aisee nilichoka kabisa.
Hapa nilipo Sina hamu tena.
Huyu binti ni mke wangu niliyemtolea mahari. Kwa lugha nyepesi ananinyima unyumba au kunipangia siku za kunipa.
Nafikiria kumrudisha kwao maana hata kuzaa aliniambia atazaa baada ya Miaka miwili eti hawezi kuingia kwenye Ndoa na kukimbilia kuzaa.
Pia heshima yake kwangu ni ndogo Sana. Anapenda kunibishia ndani ya nyumba hatusikilizani. Muda mwingi yupo busy anachat na Mama ake na Ndugu zake wengine. Anapenda kutoa Siri za ndani kwetu yaani nikikwama kidogo tayari kashamwambia mama ake au dada ake "Hela yenyewe hamna leo kaniachia 2000" 😭😭[/B]
Kabla sijachukua maamuzi magumu tafadhali naomba mnishauri; vipi kuna mke kweli hapa au napoteza muda?
Na wewe onyesha mabadiliko ,akikuletea dharau usionyeshe reaction yeyote ,usiumie Wala usikarike...ukifanya hivyo itakuwa kama unamfundisha siraha ya kukujeruhi
📌📌Huna akili domo zege wewe pumbavu!!!Hatukakaa kwenye Uchumba. Nilifahamiana nae kwa muda wa wiki Moja nikaoa. Maana nilienda kuoa Kikabila huko kijijini kwetu. Hata kukutana nae tulikutanishwa na Wakubwa wetu.
Huna mke, piga chini huyo ndezi.Wasalamu wakuu.