Wanawake mnaroho mbaya sana. Sasa mke wa jamaa pisi kali anatongozwa kila leo na kuja kushare na mume mbona raha.....sii u can even usse that as part of foreplay.Nonesense!! Anaowakubalia mbona hakuambii??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake mnaroho mbaya sana. Sasa mke wa jamaa pisi kali anatongozwa kila leo na kuja kushare na mume mbona raha.....sii u can even usse that as part of foreplay.Nonesense!! Anaowakubalia mbona hakuambii??
Kaokoka wewe unadhani kila mtu kiruka njiaAkifinywa hasimulii
Kuvipi??Wanawake mnaroho mbaya sana. Sasa mke wa jamaa pisi kali anatongozwa kila leo na kuja kushare na mume mbona raha.....sii u can even usse that as part of foreplay.
Shauri yako, wanakulana hadi kwenye maombi, stuka pimbi weKaokoka wewe unadhani kila mtu kiruka njia
Mimi Ni DUJI.Mwanamke kutongozwa ni haki yake ANA MVUTO
Kukubali hapo ndio ujinga au kujirahisisha lakini mwanamke safari ya kilomita tatu wasipogeuza shingo kwake mhhhhh ana kasoro huyo
Au ndio wale wale dume jike ISIJE IKIWA NAWE DUME JIKE???????