Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

Mke wangu ananitesa na kuninyanyasa sina raha na ndoa sijui nifanyaje

Jamani jamani.
Kwahiyo miaka mitatu yote umekubali kuteswa tu?Pamoja na mateso bado ukamjengea?Pamoja na mateso bado unawahi nyumbani?Pamoja na mateso bado unamwomba unyumba mpaka unaambulia kipigo?Pamoja na mateso bado umeendelea kukaa nae na kukubali kukaanyumbani na watoto wakati yeye akienda kufanya 'who knows what' ?

Embu amka baba. Wewe ni mwanaume, act like one.Kama kweli umechoka hizo tabia zake mweke chini umweleze kwamba hiyo ndoa yenu haitofika popote iwapo hatojirekebisha. (Ningeweza ningekwambia siku nyingine akileta ujeuri umchape vibao kama mtoto) but anyway cha muhimu ni kumjulisha kwamba huwezi na wala hutaki kuendelea kuishi nae katika hali mnayoishi sasa hivi. Ila sasa kwa kumweleza haya uwe tayari kwa lolote (including kuachana) maana anaweza akakuambia kwamba alikua anafanya hayo yote ili uondoke uache kumganda akae na mtu wake anaempenda.

Sasa hivi jifikirie wewe na wanao, sidhani kama kitendo cha mama yao kukupiga (kama nao wanaona) ni mfano mzuri kwao. Fanya mpango uwalee katika mazingira mazuri.

llizzy hawa bado hawajafikia pa kuachana...! mbona mnaangalia ambayo mchuzi wa bata amesema tuuu..!? mbona hujiulizi kwanini anapigwa akiomba gemu..? unadhani kama angekua anatoa kazi ya ukweli huyu mama angempiga..? lizzy huyu jamaa inabidi akaze buti..! kama mambo yataendelea..! hapo sasa ndo wafike huko mbali unapompeleka... umenisomaaa...!????
 
sasa sikia ni hiviiiii...! hapo bila shaka ngoma inapigwa na wapigaji inaelekea wameku outsmart....! inabidi ujitahidi sana..! na hizo seminar ni kwamba mzigo unaliwa ndugu yangu..! hapo la kukusaidia ni kwamba.. siku akikuruhusu uingie kwenye 18 zake aisee hebu fanyia mazoezi kabisa hiyo siku ya forum...! hakikisha unakua mwenyekiti wa ukweli.. laa sivyo utajikuta unalea watoto ambao sio wa kwako.. mara nyingi haya mambo yanaishia huko..! na ukimaliza ukaona tabia zinajirudia...! hapo njoo tena jukwaani ntakupa ushauri mwingine..! huyo bado sio wa kupigwa chini na wala hujafikia sehemu ya kupewa pole wewe...!
Kwa hiyo akipewa a-drill mafuta mpaka yatoke??
Unajuaje kama Mdunguaji wake huwa anafanyia sarakasi humo..........I mean kama issue ni kutafunwa nje.
 
Kutokumridhisha mkewe sio sababu ya yeye kupigwa.Mtu akishaanza kuleta madharau na kumpiga mwenzake hivyo inabidi aangaliwe yeye mara mbili mbili hata kama anaepigwa nae ana matatizo yake.
 
Mna watoto wawili + umemjengea nyumba kwao (as requested) + tendo la ndoa umekuwa unapewa mara moja kwa mwezi + kusafiri kila kukicha + mwiko.... still you cant smell the coffee? Sijui ni maneno ya aina gani yanaweza kufungua macho,Maybe you like to learn things the hard way.

I feel sorry for your son.....
 
Siku nyingine akirudi amekunywa kidogo, mchokoze halafu akudunde.......
Akienda kulala, we washa jiko la mkaa, kaliweke chumbani, wewe lala sebuleni. ukumbuke kufunga madirisha ya chumbani.

Ukifanikiwa usiache kuja kunishukuru.
 
pole. Keti na mkeo mzungumze. Sioni ubaya ukiwah kurudi ukae na watoto au akisafiri ukae na watoto mradi safari ziwe ni za kazi kiukweli na kama busy awe kweli kazini. Je umechunguza anakua na kazini?

Ila wewe c mwanaume? C mnasema nyie ni vichwa? Hebu simama kidete rudisha discipline nyumbani kwako. Utapigwaje banaa
 
Siku nyingine akirudi amekunywa kidogo, mchokoze halafu akudunde.......
Akienda kulala, we washa jiko la mkaa, kaliweke chumbani, wewe lala sebuleni. ukumbuke kufunga madirisha ya chumbani.

Ukifanikiwa usiache kuja kunishukuru.
Ahaaaaaa....huyu hawezi huyu miaka mitatu anachezea kipigo usikute hata wife ameishamlegeza viungo..
 
Kupigwa?? Nawe umetulia tu??? Halafu unamuita mke kabisa?? Aah salalaaa......! Uliumbwa nae huyo mkiwa mmewekewa supa glue hata uvumilie mateso yote hayo?? Wan'chekesha!!!!
 
Siku nyingine akirudi amekunywa kidogo, mchokoze halafu akudunde.......
Akienda kulala, we washa jiko la mkaa, kaliweke chumbani, wewe lala sebuleni. ukumbuke kufunga madirisha ya chumbani.

Ukifanikiwa usiache kuja kunishukuru.

Alafu aanze kuishi na hatia ya kuua?Ili iweje sasa?
 
sasa sikia ni hiviiiii...! hapo bila shaka ngoma inapigwa na wapigaji inaelekea wameku outsmart....! inabidi ujitahidi sana..! na hizo seminar ni kwamba mzigo unaliwa ndugu yangu..! hapo la kukusaidia ni kwamba.. siku akikuruhusu uingie kwenye 18 zake aisee hebu fanyia mazoezi kabisa hiyo siku ya forum...! hakikisha unakua mwenyekiti wa ukweli.. laa sivyo utajikuta unalea watoto ambao sio wa kwako.. mara nyingi haya mambo yanaishia huko..! na ukimaliza ukaona tabia zinajirudia...! hapo njoo tena jukwaani ntakupa ushauri mwingine..! huyo bado sio wa kupigwa chini na wala hujafikia sehemu ya kupewa pole wewe...!

sasa kama mke wake anatoka nje ya ndoa kuna haja ya kuwa na mke kama huyo? ok tuseme kwa mfano amnatoka nje ya ndoa je anayelala nae anatumia kinga? na kama hatumii kinga je huyu jamaa ni mzima? nikimaanisha magonjwa ya kuambikiza.
kwa mtindo huo jamaa hana mke hatakiwi kushare nae tendo la ndoa na kwanza akapime akijiona yupo poa basi kinachofuata ni kumweleze mke wake dukuduku lake na ikiwezekana awasiliane na wazazi wa pande zote mbili na kuwaeleza yanayotokea.
ila acha kulala nae atakumaliza mkuu
 
Mkuu inaonekana performance kwenye yale mambo yetu sio nzuri, kwahiyo atakuwa amepata wajanja. Jaribu kuweka sawa hicho kipengere halafu uone matokeo yake, kama utafanikiwa halafu huyo my wife wako ataendelea na ishu zake basi atakuwa hakufai.
 
weka picha tuone makovu jinsi alivyokupiga.

mi nataka kovu la **** kama kakupiga huko kwingine kimbia wala usilete malalamiko lete picha twende haki za binadamu si wanadai tunawanyanyasa lete ya makalio waone
 
mna watoto wawili + umemjengea nyumba kwao (as requested) + tendo la ndoa umekuwa unapewa mara moja kwa mwezi + kusafiri kila kukicha + mwiko.... Still you cant smell the coffee? Sijui ni maneno ya aina gani yanaweza kufungua macho,maybe you like to learn things the hard way.

I fell sorry for your son.....

unahisi limbwata limewekwa kuoshea viatu eeeeehhhhhhhhhhhhh?????????????????
Asome nyakati kama wametaiti mmh siko
 
Ila m nashauri kwanza wakae chini wapate soln ya matatizo yao
nimeona kuna wamama wengi waliwanyanyasa wababazetu aalafu mateso yanawakumba watoto wao yaani ni kama kalaana fulani so kama mama bado yuko hai sema nae vizuri nahisi mzigo wake unakurudia na kama dingi yukohai mpesomo hili ninalokwambia hata kama wameachana watamke mbele yako wamesameheana kila mtu akaliwe akale kivyake lakini kama mmoja alimnyanyasa mwenzio mpwa na ajasamehewa kunashuguli mbaya sio wewe tu hayo mateso yanarudi na hwao wawili uliowazaa kama kweli ni wako

nimewiwa kukwambia hili nimeona mtu anaeteseka sana sana mmoja wapo ni mi nilipta shidan sana kumpata aliewangu nikwawafwata wazazi kuwaweka sawa ingawakila mtu anamegwa kivyake hivi sasa waliposameheana nakwamabia leo nacheka na utitiri wa watoto so take this usichukulie utani

kingin kwa haya uliosema nimeanza kutoka machozi si kwa kuwa unaumizwa bali je watoto unaotunza ni wako kweli nahisi unatunza watoto wa mume mwenzio mpwa angalia dist ya ulipowazaa na muda wa vituko ulipoanza gawanya kwa zile mbegu unazotoa kokotoa kwa zile ulizomwaga kwenye mifuko pale mfukunyunyu guest house
pata jibu ni wako kweli ama unatunza yatima mbaya pengine babayao alishakufa mkeo ajakwambia kumbe unapata thawabu bila kujijua

jumapili njema we usieenda kanisani kajiulize na wewe ulienao wa kwako wa kwetu
 
Kwa hiyo akipewa a-drill mafuta mpaka yatoke??
Unajuaje kama Mdunguaji wake huwa anafanyia sarakasi humo..........I mean kama issue ni kutafunwa nje.

unajua ni kwamba kwenye ile kitu bwana kuna maskillsa ya kutisha sasa jamaa inabidi ajifunze jinsi ya kumfikisha mamaaa
 
sasa kama mke wake anatoka nje ya ndoa kuna haja ya kuwa na mke kama huyo? ok tuseme kwa mfano amnatoka nje ya ndoa je anayelala nae anatumia kinga? na kama hatumii kinga je huyu jamaa ni mzima? nikimaanisha magonjwa ya kuambikiza.
kwa mtindo huo jamaa hana mke hatakiwi kushare nae tendo la ndoa na kwanza akapime akijiona yupo poa basi kinachofuata ni kumweleze mke wake dukuduku lake na ikiwezekana awasiliane na wazazi wa pande zote mbili na kuwaeleza yanayotokea.
ila acha kulala nae atakumaliza mkuu

wakapime wote... wakikuta wako fiti aje ajaribu kumpa kazi ya kiume then aobserve signals za circuit kama bado zina noise hapo sasa itakua mambo ni mengine....
 
Kutokumridhisha mkewe sio sababu ya yeye kupigwa.Mtu akishaanza kuleta madharau na kumpiga mwenzake hivyo inabidi aangaliwe yeye mara mbili mbili hata kama anaepigwa nae ana matatizo yake.

lizzy kama mwanamke kila siku amekua akijitahidi kukuonyesha kua humfikishi na wewe unakua huchukui hatua yoyote ile unataka afanye nini zaidi ya kuongea kwa kutumia mwiko....? huyu jamaa haja expose mambo yake vizuri hapa ukute mama haridhiki na kazi na amekua akimwambia ila jamaa amekua aki ignore hapo utajikuta watu wanamaliza kazi tu,,,... na wewe unakua unaonekana ni house girl tu japo ni mwanaume,,,,,!
 
Back
Top Bottom