mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 207
- 481
Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.
Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli tukikorofishana. Kwa upande wangu mimi siyo mpenzi wa mazoezi mwili wangu wenyewe kimbaomboa tu.
Naombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami. Pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.