mbasa ya konge
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 207
- 481
ushauri wa kiharamia huu 🐒Noa panga likae chini ya mto na uhakikishe una gunia la mkaa ndani.
Yeye si ameanza umafia 😂ushauri wa kiharamia huu 🐒
Na wewe fanya naye mazoezi.Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekiwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.
Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli tukikorofishana.kwa upande wangu mimi siyo mpenzi wa mazoezi mwili wangu wenyewe kimbaomboa tu.
Naombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami.pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.
Safi amepata mwili wako kama Sehemu nzuri ya kufanyia mazoezi ya kujihamiWakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekiwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.
Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli tukikorofishana.kwa upande wangu mimi siyo mpenzi wa mazoezi mwili wangu wenyewe kimbaomboa tu.
Naombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami.pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.
Mtegee na kamba anase ateguke mkuu, mazoezi kwisha habari yake🤣🤣🤣Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekiwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.
Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli tukikorofishana.kwa upande wangu mimi siyo mpenzi wa mazoezi mwili wangu wenyewe kimbaomboa tu.
Naombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami.pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.
Vitakua vitoto vya afumbili hivyoNaombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami. Pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.
Ni vile tu amegundua kuwa unam cheat, huenda hata huyo mwanenu wa sasa umembambikia tu wala sio wake. Hivyo lazima kiwake mkuu. We subiri tu afudhu ndo utajua aliyemteka Roma alikuwa naniWakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.
Hali hii imeanza kunipa wasiwasi na kuhofia siku Moja atanipiga kweli tukikorofishana. Kwa upande wangu mimi siyo mpenzi wa mazoezi mwili wangu wenyewe kimbaomboa tu.
Naombeni ushauri au mbinu ambayo nitaweza kuitumia pindi atakavyoamua kuanzisha ugomvi nami. Pia njia sahihi ya kupunguza Kasi yake ya mazoezi.
Fimbo maalum unayo! Mtandike nayo mpaka arushe maji, utakuja kunishukuru kijana.Wakuu nashindwa kumuuelewa mke wangu, siku hizi anafanya mazoezi Sana mazoezi kama vile push up, kukimbia na karate. Wakati mwingine amekuwa na tabia ya kunikaba na kunirushia makonde kama sehemu ya mazoezi yake.