Mke wangu ananiweka njia panda

Wasabato ni hardcore....wanajifanya wana misimamo mikali..pole
 
Ushapigiwa
 
Unatombewa mzee sasa unataka ushahidi gani?

Piga chini hio malaya.
 
Kizazi cha leo huko kwenye ndoa mnaenda kutafuta nini?? kila siku ndoa ndoa ndoa, hamuoni yanayotokea huko??? au ndio ile ya kwamba mna macho ila hamuoni, mna masikio lakini hamsikii?? mtapigwa na vitu vizito hadi mkome.
 
Pole sana mkuu, mvumilie tu huenda siku moja atabadilika, ndoa zina vijimakwazo vidogovidogo ivyo yakupasa kuwa na uvumilivu, ukisema umwache shemeji yetu utakutana na mwingine mwenye mapungufu zaidi ya ayo
 
Leo umekuwa Dume?

 
Je wewe ni Muslim au kuwa dini nyingine umemaanisha nini?

Kama ni mkristo ila dhehebu jingine mpe muda atabadirika. Na kama ni Muslim mwambie wazi msimamo wako kile ambacho hupendi ingawa itachukua muda kubadirika na kwenye hili mnaweza kuwa mnakosana mara kwa mara.

Kuhusu kuwasiliana na anayemuita bro usiyemfahamu kwenye piga marufuku. Kwanza anamtumia picha ili iweje. Bro anakutana na picha Status au Insta huko. Mume na mke au wapenzi ndio wanatumiana picha . Bro anatumiwa picha anataka agundue nini? Huyo sio brother ake.

Hata hivyo ukitaka mahusiano yadumu achana na simu ya mpenzi au mke wako.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Nunua redio nyingine kubwa kuliko hio,akiweka za kisabato wewe weka za dini yako kwa sauti kubwa
 
Pole mkuu, litafutie sababu uliache tu. Tofauti na hapo jiandae kuota kipara, mvi, kupata madonda ya tumbo, hatimaye kufa mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…