Acha ujinga wewe, anaanzaje kuweka masharti ? Kwa wanawake hakuna demokrasia, unatakiwa umdrive usipomdrive anakudrive yeye si unaona sasa,mnafuata mambo ya haki sawa ya kizungu wakati nyie wabongo,tangu lini mbuzi akaishi kama ngombe?
Wanawake wengi hua hawapendi men asie mkorofi au mkali mkali ambao niliwahi ongea nao na ndo ukweli ,na bado mpaka utafua na kupiga deki ndani.