Kauli hiyo ni kama ipoipo tu, lakini kwenye ukweli there is nothing near the truth!!Jamani hawa wamarekani naona wameamua ila kwetu wanaleta ujumbe wa kondom mbona kenya wenzetu wamewapa jumbe nzuri ""mke wangu anantosha""yaani walivyoliaanda hata ulikuwa mzinzi kwenye ndoa unaacha upuuzi wake.....
Hongera wakenya natumain mtafanikiwa
Atakutosha kama unaona ulifanya chaguo sahihi. Pia kenya inaonekana wanawake ni waaminifu sana kwa mujibu wa tangazo
kwani unashindwa nini kufanya chaguo sahihi Kingi??? Me nafikiri wanawake kwa asilimia kubwa huwa ni waaminifu sio wakenya tu hata wa TZ.
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichanaMhhhh.......! Kama ndio hivyo, je hawa wanaume wasiowaaminifu wanakwenda wapi?
kwani unashindwa nini kufanya chaguo sahihi Kingi??? Me nafikiri wanawake kwa asilimia kubwa huwa ni waaminifu sio wakenya tu hata wa TZ.
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichana[/QUOTE]
hao ni wanawake pia ujue!
Mhhhh.......! Kama ndio hivyo, je hawa wanaume wasiowaaminifu wanakwenda wapi?
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichana
Mh! kuna watu wabishi ndugu yangu, yaani mtu yupo kwenye msiba uliosababishwa na VVU lakini humo humo mtu anawinda.Jamani hawa wamarekani naona wameamua ila kwetu wanaleta ujumbe wa kondom mbona kenya wenzetu wamewapa jumbe nzuri ""mke wangu anantosha""yaani walivyoliaanda hata ulikuwa mzinzi kwenye ndoa unaacha upuuzi wake.....
Hongera wakenya natumain mtafanikiwa
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichana