"Mke wangu anantosha" - kwa hisani ya Marekani

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Jamani hawa wamarekani naona wameamua ila kwetu wanaleta ujumbe wa kondom mbona kenya wenzetu wamewapa jumbe nzuri ""mke wangu anantosha""yaani walivyoliaanda hata ulikuwa mzinzi kwenye ndoa unaacha upuuzi wake.....
Hongera wakenya natumain mtafanikiwa
 
Kauli hiyo ni kama ipoipo tu, lakini kwenye ukweli there is nothing near the truth!!
Tuombe Mungu!
 
Atakutosha kama unaona ulifanya chaguo sahihi. Pia kenya inaonekana wanawake ni waaminifu sana kwa mujibu wa tangazo
 
kwani unashindwa nini kufanya chaguo sahihi Kingi??? Me nafikiri wanawake kwa asilimia kubwa huwa ni waaminifu sio wakenya tu hata wa TZ.
 
Mhhhh.......! Kama ndio hivyo, je hawa wanaume wasiowaaminifu wanakwenda wapi?
 
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichana

Hao vibinti/wasichana ni WANAUME? Kama ni wanawake, ndio uaminifu huo mnaotaka kuusema hapa. Kwambwa mwanamke ambaye hajaolewa akitoka na mwanaume mwenye ndoa, huyo mwanamke ni mwaminifu?
 
Jamani hawa wamarekani naona wameamua ila kwetu wanaleta ujumbe wa kondom mbona kenya wenzetu wamewapa jumbe nzuri ""mke wangu anantosha""yaani walivyoliaanda hata ulikuwa mzinzi kwenye ndoa unaacha upuuzi wake.....
Hongera wakenya natumain mtafanikiwa
Mh! kuna watu wabishi ndugu yangu, yaani mtu yupo kwenye msiba uliosababishwa na VVU lakini humo humo mtu anawinda.
Sembuse tangazo!!
 
konakali!!! huwa wanakwenda kwa vibinti/wasichana

"Akithibitishwa mahakani kwamba, katoa rushwa; Akithibitika mahakamani kwamba kapokea rushwa; Wazanaki wanasema, wote mavi kanyaga", J. K. Nyerere alisema. Hivyo, Mliwa na Mlwaji, wote ni wezi, na hapo hakuna uaminifu hata kidogo...!
 
Back
Top Bottom