Mke wangu anapata maumivu ya tumbo

Mke wangu anapata maumivu ya tumbo

blanketyy

Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
31
Reaction score
13
Jamani kwema?
My wife wangu ana mimba ya mwezi mmoja na robo tatu, sasa tumbo linamkata sana pia anatapika na kichwa kugonga mno, najua kuwa hivi vitu ni vya kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzo, ila je kuna namna ya kupunguza makali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ale mkate wa kuoka ( toast) pia atafute juice anayoipenda anywe ajitahidi kuzuia mwili kuishiwa na maji.

Kutapika ni sehemu ya body's defence mechanism kwani imegundua foreign body ambayo ni kiumbe.
 
Pole sana mkuu jaribu kwenda nae hospital kwa ushauri zaidi
 
Akijaribu kunywa vidonge vya Malaria ataitoa hiyo mimba...cha msingi aende dispensary apate ushauri wa Daktari .....
 
Ale mkate wa kuoka ( toast) pia atafute juice anayoipenda anywe ajitahidi kuzuia mwili kuishiwa na maji.

Kutapika ni sehemu ya body's defence mechanism kwani imegundua foreign body ambayo ni kiumbe.
Ni kweli kutapika ni hali ya kawaida sana kwa mama mjamzito kutegemeana na mwili wa mtu maana mie mimba zangu hutapika mpaka chakula hakikai kwa miezi takribani miezi 5 huwa naishi kwa msaada wa Dawa aina ya Nosic maana sinaga namna nyingine kila ninachokula bila ya kupata hivyo vidonge lazima kirudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taratibuu mkuuu.

Inategemeana pia na hali aliyonayo, maana mwili unafanya adoptation kutokana na kiumbe ambacho kimeanza kumea tumboni.

Ushauri wa Daktari ni muhimu kabla ya kuchukua maamuzi hayo
Ok nimesema ivo b/c nilkuwa na hali kama hiyo na niliandikiwa hizo dawa ndo afadhal nilweza Kula hata kidogo nilkuwa nashindia maji ya baridi na miwa tu kutapika daily nkakonda kama katuni hizo zinapunguza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom