Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
Tafuta ki bint cha miaka 25 kiwekee dstv ndani. Kitalea watoto vizuri tuuAkili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Kama unakijua hiki sasa ushauri unaomba wa nnTumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Tunda lako linaliwa mkuuHabari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Mpendwa mume wangu anamjua x vizuri sana tu.na ninaposema kuwasiliana na x simaanishi kwamba ndo kila siku noo miezi hata sita inakata smtms bila mawasiliano.yaani hizi negative zako za kusema sijui wivu wala mimi sipo huko.nilishakuambia pale mwanzo kuwa ningetaka tuoane ingewezekana but moyo wangu ulienda kwa mtu mwingine basi.na kuhusu mke wake kujua it's simple kama hapendi atamuambia mume wake mimi sipendi then jamaa anasitisha mawasiliano simple tu.Hata mimi leo mume wangu akiniambia sipendi mawasiliano nae tho hajawahi niambia nitaacha coz kama kitu kinaleta shida kidogo kama hichi naacha.ni hivi mpendwa mimi nina marafiki wengi wa kiume kuliko hata wa kike tunatanianaga sana wengine wameoa na wengine bado na my husband anawajua ni marafiki zangu.kama ingekuwa ni mtu wa kunipiga marufuku angeanza kwa marafiki zangu coz ndo hata mara kwa mara tunawasiliana.na kuhusu hapo kwa loud speaker yes iwe ya husband napokea kwa loud.most of time niko na rafiki mmoja ndo tupo ofisi moja na simu ya hubby akipiga mi ni loud mazingira yananiruhusu.Emoj, ahsante sana., kwahiyo kwa maelezo hapo juu ni kuwa ww mwenyewe huna uhakika kama Mumeo anajuwa kuwa huyo unaewasiliana nae ni ex wako au laah na yeye wala hajawahi kukuliza au sio? Kwahiyo bado hujajuwa kuwa nae akifahamu hivyo atalichukuliaje hilo ama sivyo bi Emoj? Ila inawezekana kwako ww sio tatizo, je ushajiuiza na kwa huyo Mke wa Ex wako yeye anaichukuiaje hali hiyo ya ww kuwasiliana na Mumewe?
Hivi kama kila Mtu anafamilia yake kuna haja gani ya kujuwa maendeleo ya ex wako ukizingatia kila Mtu ameshajenga himaya yake au bado unawivu nae?
Ila hilo la kuweka simu yako loudspeaker ukiwa na marafiki zako nimelipenda, ila je hata akikupigia Mumeo huwa unafanya hivyo hivyo?
Huyo mwanamke hana adabu,mimi baada ya kuolewa nilibadilisha namba na hata nikipishana barabarani na x wangu huwa najifanya kama sijawahi kumuona wala salamu huwa simpi maana sina shughuli nae, mpe likizo aende kwako halafu mkaushie,mpotezee kama miezi sita wala usimtafute,àkiona anahitaji ndoa atajirudi na atajifunza, atakulete magonjwa huyoAkili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Kuwaisliana haimaanishi mnarudiana[/QUOTE said:Mawasiliano ndiyo njia ya kurudiana hivyo,yaani mechi za kukumbushiana zile "unajua nimekumiss tangu tumeachana"
Wanasema "hawala hana talaka"
Me nikiacha ndiyo nimeacha,vishawishi ni vingi mkiendelea kuwasiliana
Pole huyo anaendeleza mahusiano na ex love wake, hakuna uhusiano wa hivyo bila kuliwa papuchiHabari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Wanawake ni watu wa ajabu sana na hutagundua kuwa ni waajabu mpaka umeanza kuishi naye,anapoachwa matusi na kashfa zinazomtoka utadhani huo ndio mwisho wa kuwa na huyo mtu wake,ila siku akipata mtu mwingine,ghafla utashangaa mawasiliano yamerudi na wengine hufikia hata kutoa penzi la wizi..Huwa inakuwa ngumu sana kuacha mawasiliano na hao jamaa zao hata uwape nini,huwa najiuliza kwa nini waliachana sasa na kwangu alifuata nini kwa watu wenye wivu kama mimi natupa kule kwani lazima!
100%Wanawake ni watu wa ajabu sana na hutagundua kuwa ni waajabu mpaka umeanza kuishi naye,anapoachwa matusi na kashfa zinazomtoka utadhani huo ndio mwisho wa kuwa na huyo mtu wake,ila siku akipata mtu mwingine,ghafla utashangaa mawasiliano yamerudi na wengine hufikia hata kutoa penzi la wizi..
Mwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!