Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Huwa inakuwa ngumu sana kuacha mawasiliano na hao jamaa zao hata uwape nini,huwa najiuliza kwa nini waliachana sasa na kwangu alifuata nini kwa watu wenye wivu kama mimi natupa kule kwani lazima!
Ukiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.

Kama mimi binafsi ex wangu ni adui yangu namba moja nahakikisha nimemblock kila mahali kiasi ambacho hataweza kunipata
 
Bas wew nawe pia una kazi ya ziada !mie sijawah mblock ex jaman !nkisema nimemuacha nikweli naacha !nakosa kbs hisia hata za kuchat naye au kupigiana naye simu ! automatic nakuwa off naye miaka nenda rudi ! mie hata huwa sisumbuki jaman ! hat niwe mtaa mmoja na ww utasurrender mwenyew ! sijui huwa wanarud kwa ex zao wanakuwa wamesahau nn !kumrudia ex ni FEDHEHA YA HALI YA JUU !
 
Uko sahihi na kila mtu ana njia yake ya kumove on, binafsi yangu hvyo ndo nafanya, namfuta kila mahali ili niwe huru na hata nikiingia kwny uhusiano mpya nisipate shida na kumkwaza mwenzangu mpya. Umeachana na ex alafubuna namba yakebya cm, ya kazi gani?, unamfolow fb, insta ili iweje? For me is no. My ex is expired, dead and gone
 
ni sawa na scraper tu
 
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
Mnyang'anye simu yake
 
Ukiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.

Kama mimi binafsi ex wangu ni adui yangu namba moja nahakikisha nimemblock kila mahali kiasi ambacho hataweza kunipata
Yaan unachosema kina ukweli. Ina depend waliachana vipi.. kuna wengine hawakupenda, so lile penz mara nyingi huwa halifi. Ila kuna wale wameacha vibaya,matusi juu. Hiyo huwa unafunga kila aina ya mawasiliano ili ex asikupate
 
Ukiona Kaliwa... Samahani manyoya......... Ila ni kawaida tu, ke wote wanawasiliana na ma-ex wao provided hawakuachana vibaya. LA muhimu Ongeza kuprovide Vile vilivyofanya akubali umuoe ili ucompete vizuri.
 
Ingekuwa Mimi Huyo, ningemgeuza kuwa msukule na kumuweka dukani awe anaita wateja
 
Nawe wasiliana na ex wako tena kwa loud speaker SAA nane usiku
 
Mmmmmh ndo maana mimi kabla sijaanza mahusiano nakuuliza kabisa why uliachana na mtu wako ...... ukinijibu cjui dini ,wazazi au distance najua kabisa sina changu !!!!! Natafuta ustaarabu mwingine wengine mioyo yetu mwepesi saana
 
Wanawake kuwasiliana na ma ex zao ni kutafuta vitombo tu hakuna la ziada. Naongea km mwanamke na ukweli ndio huo mvimbe mpasuke! Hivi km uyo ex anakupenda angekuacha au ungemuacha?!! Sasa mawasiliano ya nini?! Umezaa nae unataka umpe maendeleo ya mtoto?? Mkeo anagawa papa na iyo unayosema mitoto yako ongozana nayo kwa mkemia mkuu.

Wanandoa km unaona maex muhimu kuwasiliana nao kwanini usingeoa/kuolewa nae??! Ebu tulizeni vipapa na dyudyu mtaacha watoto yatima kwa kuendekeza matapishi
 
Yaan unachosema kina ukweli. Ina depend waliachana vipi.. kuna wengine hawakupenda, so lile penz mara nyingi huwa halifi. Ila kuna wale wameacha vibaya,matusi juu. Hiyo huwa unafunga kila aina ya mawasiliano ili ex asikupate
Kweli kabisa, mara nyingi walioachana bila kupenda hawaachanagi hata ipite muda muda gani
 
Ukiona Kaliwa... Samahani manyoya......... Ila ni kawaida tu, ke wote wanawasiliana na ma-ex wao provided hawakuachana vibaya. LA muhimu Ongeza kuprovide Vile vilivyofanya akubali umuoe ili ucompete vizuri.
Akipita hapa ex wangu akasoma komenti hii hatakuelewa
 
Back
Top Bottom