Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,092
- 9,063
Ukiona hvyo ujue bado wanapendana, aidha waliachana kutokana na shinikizo la wazazi, ndg, marafiki au tofauti za dini. Lakini kama waliachana kwa kumaanisha sio rahisi nmahusiano kuendelea.Huwa inakuwa ngumu sana kuacha mawasiliano na hao jamaa zao hata uwape nini,huwa najiuliza kwa nini waliachana sasa na kwangu alifuata nini kwa watu wenye wivu kama mimi natupa kule kwani lazima!
Kama mimi binafsi ex wangu ni adui yangu namba moja nahakikisha nimemblock kila mahali kiasi ambacho hataweza kunipata