I AM WHO I AM
Member
- Oct 18, 2012
- 49
- 35
Acha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka?Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Ndio mpunguze kulia lia wanaume.Niko mbeya wewe siyo Dar
Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.
Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa
Acha kumchunguza Mkeo. Tena sahau simu yake. Kabla ya kumuacha jiulize je kwa Miaka hiyo 10 hujawah chepuka?
Kama hujawah muache.
Pili, hawezi kuwasiliana na Ex wake kama kweli umemtendea haki, unampenda na kumjali.
Huyo ni mali yako na usidanganywe humu ndani ukamuacha. Mke si wa kitandani tu. Mke ni hao watoto, na uzeeni.
Usitegemee atatokea Mke mwingine mzuri kama huyo. Mwite mkeo mweleze akutunzie heshima. Atakuelewa
Eti eeeewLabda alimuoa bikra
Sasa kama ameikaririSasa miaka 10 ya pamoja umuache kisa ex? Chukua line vunja vunja msajilie nyingine problem solved.
hilo neno kubwa...unaeza kuta hunA mtoto ATA MMOJa hapoMmeoana 10 years ago ila bado wanawasiliana mpaka leo? Hao watoto kadhaa waangalie vizuri bro
Hakuna muda wa kubembelezana na kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. A spade is a spade...not a very big spoon. Alimuonya mkewe 8 years ago ila mama bado kamaintain contact za nguvu. Kuna jambo zito.Hakika wwe ni mchonganishi..................... Inabidi ukamatwe [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Etiii...?Bro unatombewa kuwa makini