Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Sio kuwasiliana tu jamaa bado anamkaza kabisa kaa ukijua hilo....simple mwambie achague moja tu aende kwa x wake au abaki kwako inawezekana bado anampenda yule kuliko wewe
 
Ndugu, kuachana siyo uadui, wanawasiliana mambo ya kawaida tu. Hata mimi nawasiliana na Ex zangu nyingi zimeolewa ila hatujawah kuzungumzia mapenzi zaidi ya mambo ya kimaisha. Tuliachana kwa amani na kuna leo na kesho hatuwezi kuwa maadui, kujuliana hali ni kawaida tu. Jambo la msingi ni kujiheshmu, otherwise kuwasiliana na Ex syo tatizo. Kua basi, umwache mkeo wa ndoa ya miaka 10 kisa wanasalimiana na Ex ni utoto.
 


Huyo ndiye aliyemtoa bikira, hawezi kumtoa moyoni wala ubongoni, kamwe ndivyo walivyo wanawake
 
Mara nyingine inategemea ulivyompta huyo mkeo aisee

Kwa mfano mimi binafsi ni muhanga wa kuwasiliana na maex wangu unakuta siku unampata ulimpora jamaa mzigo kwa njia ya mapene sasa kashaziea mapene yako ila upini bado anaukumbuka wa ex wake lazima tuwasiline aisee na huwa tunapashaga viporo sisi maex

Tena nisikuongopee mimi nikiwaga na ex wangu aliyeolewaga na jamaa alienipora nagongaga vibaya kama namkomoa vile haki ya nani wanarudi na kujuta kwa nini walifuata pesa kuacha utamu

Usilie sana mkeo yupo kupasha kiporo alichokiacha

Hilo bando linaitwa HALICHACHI [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 

UNASAIDIWAJE WEWE MKEO ANALIWA UNAKUJA KUTAFUTA USHAURI HUKU?
 
Huyo ndiye aliyemtoa bikira, hawezi kumtoa moyoni wala ubongoni, kamwe ndivyo walivyo wanawake
Kumsahau kweli hawezii ilaa sio ndo aendelee kuto....naee kisaa alimtoa bikraa..!! huoo ni ujingaa... wangapi wametolewa bikra na hawawasiliani na ma ex waoo.. Ni kulifukuzaa tuu liendee likapigwee pipe vizuri hiloo mwanamke.. sio unalilisha buree afuu likipata nguvu linaend kumpanulia mapaja mwanaume mwingne...
 
Mkuu huyo mwanamke anakudharau sana,unamkataza kuwasaliana na Ex wake then yeye anaendelea, hata wazazi kawadharau pia duu. Ingekuwa mimi tungegawana majengo ya serikali.
 
Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
MAWAZO YA KIAFRICA YALIYOFILISIKA. BIBLIA YENYEWE IMERUHUSU KUMUACHA MTU KWA SABABU ZA UZINZI. WEWE HIYO NDOA UMEFUNGA KWA IMANI GANI? NDIO MAANA WAAFRICA TUNAISHIA KUWA MASIKINI
 
Namkataza sana ila sijawahi kumtwisha ngumi.labda nijaribu
mkuu usije ukajaribu kumpiga mwanamke! tafakari hilo kabla hujafanya maamuzi!! hapo muhimu vimba kiume aondoke mpe maneno ambayo yatamchoma aondoke!! usiwaze kuhusu watoto sana maana hao utajua jinsi ya kuwalea. Unaweza mpiga ngumi ukampiga sehemu mbaya kesho ukaenda kuozea jela kisa mtu ambaye hujazaliwa nae atakufanya usitamani kuish katika dunia hii!! vimba kiume aondoke bila shaka jamaa huenda anakula mke wako
 
Kama hujaicopy mahali,,, you are truly a genius ma'am! !
Siwezi kucopy mahali kwan kwenye mahusiano kuna vitu vingi sana,ukianzisha mahusiano,au kuolew na mwanaume mwingine kisa uliyempend mliacha au hamkudumu matatizo hayo yapo tena unajikuta unakuwa na majonzi na kumlilia mtu ambaye mlishatengan muda sana.Kwa kuwa mpenz mpya uliyenaye au mume anakuwa hana urafiki ndan yake,hajui au hataki kukusikiliza,anaona kero kukutoa out akupi zawad inakuwa kero mara mia
 
QUOTE="Triple G, post: 24265916, member: 51377"]mkuu usije ukajaribu kumpiga mwanamke! tafakari hilo kabla hujafanya maamuzi!! hapo muhimu vimba kiume aondoke mpe maneno ambayo yatamchoma aondoke!! usiwaze kuhusu watoto sana maana hao utajua jinsi ya kuwalea. Unaweza mpiga ngumi ukampiga sehemu mbaya kesho ukaenda kuozea jela kisa mtu ambaye hujazaliwa nae atakufanya usitamani kuish katika dunia hii!! vimba kiume aondoke bila shaka jamaa huenda anakula mke wako[/QUOTE]

Katika watu wenye akili wewe nakukubali. Nimeishi na mwanamke miaka zaidi ya miaka 14 sijawahi kupiga ila aliwahi kusema bora kuishi na mwanaume anayepiga kuliko asiye piga. Mwisho aliondoka mwenyewe bila kufukuzwa elimu bahari usitegemee kusoma darasani be creative to make things happen.
 
Mwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Duh!! Hakuna haja ya kuoa/kuolewa kwa nyakati hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…