Huyu anajulikana ni BICHWA KOMWE -Hawa sio wala wadada wawili weupe? mwanaume unajiita lovely halafu emmy?
Huyo Anastahili kupewa mitano tenaHuwa anapita jukwaa la siasa huku mmu ni jukwaa la akina mary diana
Siwezi kufanya hivyo , kwani nina mambo mengi ya kufanya tofauti na kuwepo humu tu , ni mpangilio wa ratiba yangu tu.Unawezaje kuwepo kwa Kila threads na kwa Kila comments uki like na ku reply?