Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Sikutegemea kama ingemfanya awe na hali mbaya namna hii, yupo katika hali mbaya sana ya majuto
Kitu ambacho haujui wewe ndio upo kwenye hali mbaya na umemmiss yeye anajilitilisha huruma sababu anakujua wewe ni mtu wa huruma sana ndio maana ulipompa nauli hakuondoka sababu alijua ni suala la muda tu yataisha. Huyo mwanamke ana akili kukuzidi usimchukulie poa na kuchepuka hatoacha ila atakuwa makini zaidi.
 
Dah! Me nilichokuja kugundua kwa hawa wanawake bn akishaanza safari yake ya kuchepuka labda ikastopishwe na ugonjwa au kifo yaani ili mradi kwanza limkute jambo ndo atatulia au kujutia ila hivihivi huwaga tu wanatafutaga huruma ya mwanaume, na kwenye kuigiza sasa πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ nilinyoosha mikono juu, Ukiruhusu tu basi next time sio kucheat tuu bali anasepa kabisa.
 
Mkuu tuache ndoa za watu...walee watoto.
Kwani akiishi na mchepukaji wake sisi hatuumii popote.
Amsamehe mkulungwa wake maisha yasonge
 
Yalikukuta mkuu?
 
hii ni noma πŸ˜…

ni adhabu kali sana kwakweli πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί
 
Yalikukuta mkuu?
baada ya kugundua ananicheat nilimuita na kumjuza how ninajihisi baada ya kugundua anafanya hivyo, nakumbuka alilia toka saa 5 usiku hadi 10 ahsubuhi akiomba nimsamehe kwani nilimuahidi kwamba ifikapo kesho yake atakapoenda kazini kwake basi akirudi hatonikuta kwani nitabeba kilicho changu nitaondoka na kumuachia nyumba aishi peke yake, Mwanamke yule aliloanisha bukta yangu kwa machozi yake maana alikuwa amepiga magoti na kuniegemea miguuni muda huo mimi nimekaa kwenye sofa, Alilia hadi nikaona huyu sasa nisipomsamehe anaweza kufanya maamuzi ya hovyo ikabidi nisamehe bn, Na pale ndo lilikuwa kosa.
 
Aliendelea tena?
 
Aliendelea tena?
after 2 weeks ndo nilikuja kugundua mchongo wao bado unaendelea sema alifanya tu marekebisho kwenye kujaribu kuficha zaidi na mimi nilimuamini tena kwa kuwa niliona kwa msamaha aliouomba basi hatowahi kurudia lile kosa tena ila after pale nikagundua tabia haiach asili so mara ya pili sikujiuliza mara mbili na nikaja kuapa kuwa sitosamehe mwanamke msaliti till now nipo single na ni mwaka sasa
 
Mkuu tuache ndoa za watu...walee watoto.
Kwani akiishi na mchepukaji wake sisi hatuumii popote.
Amsamehe mkulungwa wake maisha yasonge
Nilikuwa nampa taadhari tu maana naona anasema anafanya mambo yake kwa umakini mkubwa sana hajui ni mapenzi kwa mkewe ndio yanayomtesa ila hakuna jipya analofanya. Huyo mke yeye aendelee nae ila kuchapiwa hatoacha amepumzika tu hii naongea kwa experience.
 
We si una huruma sanaeee, unajua kusamehe sana eti, kifuatacho ayakuua wewe ili apate nafasi ya kuliwa vyema tena kwenye hilo likitanda lako na shuka zako
 
Sahihi lakini hilo kosa adhabu yake ni straight RED CARD. Hakuna adhabu nyingine hapo. Makosa mawili kwenye ndoa hayahitaji vikao vya suluhu. Mke kuchapuka au kufanya mambo ya ushirikina. Malizana naye huyo mwanamke bro.
Bora ushirikina naweza kusamehe Ila sio kuchepuka
 
ila mkuu itoshe tu kusema kwa issues kama hizo inategemea na stages me sikuwa na mtoto bado hivyo kama wewe tayari una mtoto au watoto nae basi sishauri sana umuache maana madhara yataenda kwa watoto.
Mbona unanishauri tena mkuu kama vile nimeanzisha uzi?πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Yalikukuta mkuu?
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje...
Na usimfanyie hivyo mwanamke wa kichaga!

Hatastuka na ataendelea kuchepuka utageuka bekitatu nyumbani kwako.
 
Msamaha ndio nini?

Unachotakiwa kusikiliza kwa makini ni sababu ya yeye kuchepuka wakati ni mke wa mtu na sio machozi ya kinafiki kuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…