Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Pia uyo ex wake nae umchimbe mkwara mzito Sana kwamba umejua na akiendelea dawa yake inachemka. Ajutie kabisa Ujinga aliufanya. Yaan ikiwezekana uyo kijana ndio amkimbie mkeo.
umeandika vizuri sana kasoro hapa tu... yani mimi mwanaume nikamchimbe mkwara mwanaume mwenzangu aache mbususu ya mke wangu... aisee huo ni bonge wa udhaifu. deal na mkeo vizuri sababu habakwi.!
 
Kama na wewe mchepukaji haisadii, utagongewa tu hakuna namna. Weka hiyo misimamo kama wewe ni msafi.
We unadhani kwanini wanaume wengi wanaua wake zao?
Bado haijakubalika yaani mwanaume akuoe kwa harusi na gharama kubwa,akuweke ndani,halafu akubali kumegewa na mwanaume aliyekugaragaza maghetoni au gesti,akajua udhaifu wako na akaamua aoe mwanamke mwingine kisa wewe hufai.Unadhani nini kitafuata kama siyo kutomchagulia mume wako adhabu endapo atagundua unaendelea kuchepuka na ex wako(zako)?
Mwanaume kama umeona anachepuka,mwambie myamalize,kama haiwezekani dai talaka,lakini kusema uende kwa ex wako halafu urudi kulala kwenye nyumba yangu na ex wako akalale kwa mkewe anayemuona anaakili,hakyanani yatakupata usiyoyatarajia.
 
Waendelee tu kuua, lakini kuchapiwa kupo na kunaendelea kushamiri. Vifo havizuii
 
Na ndo tusiwachagulie aina ya adhabu wale wanaofumania au kugundua watoto siyo wao.Jamii ijiandae kisaikolojia.
Hakuna anayewachagullia adhabu. Watu wanafanya wakijua kabisa nikifumaniwa nini kinaweza kutokea so mauaji hayajawahi kuwa kitisho eti mke asichepuke ndo maana unaona huku kwa ground hali si hali
 
Ni kweli kaniambia umefanya hvyo, but sisi tutaendea kama ulivyotukuta.
 
Hakuna anayewachagullia adhabu. Watu wanafanya wakijua kabisa nikifumaniwa nini kinaweza kutokea so mauaji hayajawahi kuwa kitisho eti mke asichepuke ndo maana unaona huku kwa ground hali si hali
Sidhani kama mtu anajua akifumaniwa kifo au kilema kitamhusu,atajiachia hovyohovyo,moja ya vitu vinavyofanya wanawake wengi wachiti hovyohovyo hasa kama huyo anayecheat kwa ma ex wake,ni akili finyu,yaani mwanamke hajitafakari kwanini maex wake wameoa wake wengine,wakamuacha yeye,pili ni don't care ya mwanamke,kwamba jamii itamuonaje pale ambapo wakiona anacheat na aliyetaka kumuoa halafu akaoa mwingine na bado akitaka huduma anaswagwa tu kama ng'ombe,tatu ni malezi ya alikotoka,yaani familia yake, background yao ikoje yaani haina maadili,nne ni aina ya wanaume wanaowaoa,wanawafanya waendelee kucheat,kwani mwanaume anayesamehe na kukubali kuendelea kugongewa,analea hiyo tabia bila yeye mwenyewe kujua kua analea tabia husika.
 
Kwani kua na mtoto ndo kukufanye uendelee kumuamini
Uzinzi bana mm sikubaliani nao aende mwanangu nitalea mwenyewe
sio kumuamini bali kuvumilia kwa maslahi ya watoto wenu.
 
Hiyo haikubaliki,kufanya hivyo ni kulea uzinzi kwa kumuweka mzinzi ndani.Fukuza au chagua adhabu unayoona inafaa.
anyway me sina experience kwa walio tayari na watoto
 
Haijalishi sababu ya kucheat iwe hana maadili au vipi. Kucheat kutaendelea kuwepo na hakuna namna ya kuzuia. Tuishi tu
 
Ndugu,
Kama umemsamehe na bado hayuko sawa, tafadhali fanya mambo haya haraka:-

1. Mwambie akapime ujauzito
2. Pima magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI.
 
Inatokea tu hii mbona? Kama uongo we tupe ushuhuda wako kam hujawahi hili
 
Umeenda vizuri ukaharibu mwishoni.

Kama uliamua kumsamehe baada ya kukiri ilitakiwa umlambe makofi kadhaa kwa hasira ndio umpe onyo. Ulivyo samehe kilaini hivyo ndio maana bado haamini kama kweli umemsamehe.
Kweli wanawake wengi wananajua ukimpiga ndio unaondoa hasira na ni mwanzo wa msamaha,bila kufanyq hivyo Bado haamini na ni rahis kuchukulia poa.
#pigaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…