Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mm nilioa kabisa, yaan hata mwez haikupita nimekuja kugundua ana kijana wa kawaida sana, kweli nilijiuliza maswali mengi sana ambayo yalikosa majibu, yaan mnatoka kufunga ndoa, harusi mtu haoni hata uchungu wa gharama zote???.

TUKAYAONGEA YAKAISHA
Hapa kwanza nilikosa amani kabisa, yaan hata ile furaha ya ndoa ilinisha, pili nililibeba kwa lengo la sikutaka kuonekana ndoa yangu imedumu kwa mwezi mmoja, hivyo nililibeba angalau nisogeze siku huku nikiendelea kufanya tafiti.

Huwez amin amerudia jambo lilelile, nikaona hapa sasa hakuna jipya na angarau kidogo nimesogeza siku nikampiga taraka akafie mbele
Pole mkuu! Kabla ya ndoa mlikua kwny uhusiano kwa muda gn?
 
Mwanamke hapaswi kuonewa huruma Kwa Namna yeyote ile pale anapofanya jambo la kipumbavu.
 
Hofu niliyomtengenezea kwa adhabu hii ni kubwa muno na pengine anajutia sana hajawahi kupewa mateso ya saiklojia ya namna hii.

Jioni hii amepelekwa hospitali hali yake imekuwa mbaya sana na pressure imekutwa iko juu sana.
Duh sio mchezo
Kapelekwa na nani ss ?
 
Unajua kuna watu hapa wananiona kama nilichofanya badoo, ila adhabu hii niliyompa imepelekea jioni hii imebidi apelekwe hospitali, pressure iko juu sana na akitoka salama Mama yake anamchukua kwanza, kwhy unaweza kuona hili Jambo nilivyomakini nalo muno.
Eeeh Bora aende akapumzike Kwa mama yake kwanza
Big up
 
Kuna group la Whatsapp kuna mwanaumle ameandika kuwa MMEWE KANUNA BAADA YA KUGUNDUA ANALIWA yeye kasema mmewe hajui kutumia mashine vzr.
Yote uliyosema amesema hivyo hivyo. Mbinu alizotumia

1. Alijaribu kuweka mtego wa kutamanisha kwa kujiweka mzigo out. Anasema haukuweza

2. Anasema kuna wakati alikuwa anagusisha mbususukwa kalio la mmewe akapigwa kipespi.

3. Mbinu iliyomaliza. Akaweka USO WA HUZUNI NA KULIA kila mmewe akikaribia kurudi home. Anqsema mbinu hii amefundishwa na Ex wake. Hii AMEFANIKIWA
Pole kumbe ni wewe.
Ishi na mkeo usimuache

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]duh
Nimecheka
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.
If you want to see how powerful you can be as a man, reject a woman who begging your for it.

Keep your priorities no matter what, she will desire you even more and you won't care because you are living your purpose.
 
Mke wangu anatarajiwa kuruhusiwa Kutoka hospitalini hapo kesho kwa mujibu wa daktari alivyosema leo. Jana nilimpeleka mtu wa saiklojia, hili ajarabu kuirudisha saiklojia yake sawa. Baada ya kurusiwa Kutoka hospitalini tutakuwa na kikao Pande zote mbili (wazazi wangu na wazazi wake), Hiki kikako kikimalizika salama, maamuzi yangu ya mwisho yatategemeana na kikao hicho (Mengine yaliyoendelea siwezi kuyaandika, lakini nisema kwamba bado hili suala ntalishughulikia na kulimaliza salama)
Hongera sana
 
Tatizo kubwa lilianza pale nilipogundua anachepuka na ex wake. Baada ya kuligundua hilo sikutaka kuchukua hatua za shari sana papo kwa papo, bali nilichukua hatua ambazo mpaka leo anashindwa kuelewa afanyeje, sasa imefikia hatua muda wote ni analia tu, saikolojia hayupo sawa na kama anataka kuchanganyikiwa hivi.

Baada ya kugundua kwamba anachepuka nilichukua maamuzi yafuatayo

1. Siku hiyo hiyo niliyogundua sikutaka kumuuliza kama ni kweli au siyo kweli kwa sababu nilishajihakikishia kwa asilimia 100.

2. Sikula Chakula chake, nilifika naingia jikoni na kuandaa Chakula mwenyewe (hii imeendelea hadi leo)

3. Najitahidi sana niwahi kurudi nyumbani tofauti na siku za nyuma.

4. Tukilala kitandani mimi nageukia mzungu wa nne.

5. Tangia siku hiyo sijawahi kumuomba unyumba(japo anaweka mazingira ya jambo hili kila siku)

6. Akiniuliza namjibu kidogo halafu naendelea na utaratibu wangu.

7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)

8. Simtukani wala kumuongelesha vibaya bali nafanya mambo yangu ndani ya nyumba kivyangu.

9. Baada ya kuona hivyo, akasema anataka akaonane na Mama yake(ilikuwa Ijumaa usiku, nikampatia nauli muda huo huo na kumwambia asubuhi na mapema aende, ghafla akasema ameahirisha hadi sasa yupo)

10. Nimeacha kuchangia naye kitu chochote ndani ya nyumba isipokuwa sehemu ya kulala tu(kitandani na penyewe mzungu wa nne au nalala sebuleni wakati mwingine).

Sasa leo ni siku ya 6 tangia nimeanza kuishi hivyo na mke, mke wangu amenyongonyea ghafla, amekonda, amekuwa mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote.

Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah [emoji24][emoji24] nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.

Wito kwa wanaume na wanawake hasa wanaoishi pamoja kama mke na mume kwa namna yoyote ile, kupigana siyo adhabu tosha ya kusuruhisha migogoro, mimi huyu mwanamke nimempa adhabu hiyo lakini naona imemnyoosha kweli kweli japo naona kabisa imemuharibu kisaikolojia kabisa.

We jamaa utatombewa mpaka siku ya kiama NIAMINI MIMI. Kuna makosa hayanaga msamaha alafu ubaya uliofanya ni kumsikiliza, eti ametaka kunywa sumu, aise hivi uongo kama huu umekuteka akili.

Wanawake hutumia sana huu uongo, nyumbani kwao wakijua ana boyfriend wanajidai kutaka kunywa sumu, wakipata mimba wakaulizwa mimba ya nani wanatishia kunywa sumu. IN SHORT KUNYWA SUMU NI UJANJA WA SIKU NYINGI WASICHANA NA WANAWAKE HUTUMIA ILI WAONEWE HURUMA NA MATAKWA YAO YAPITE BILA KUHOJIWA.

Mwanamke msaliti ni wa kufukuza tunza maneno yangu ATAKUSALITI TENA fanya uchunguzi baada ya miezi 4 ila fuatilia hasa kwa maana round hii hauta mkamata kizembe atakua mwangalifu SANA.
 
Ndo swali gani hili? Umechukia kumwambia aende akapange?
Have you ever noticed how the biggest and strongest men you know are never bothered by trivial bullshit?

The stronger you become physically, the more stress you can handle mentally.
 
Hofu niliyomtengenezea kwa adhabu hii ni kubwa muno na pengine anajutia sana hajawahi kupewa mateso ya saiklojia ya namna hii.

Jioni hii amepelekwa hospitali hali yake imekuwa mbaya sana na pressure imekutwa iko juu sana.
We jamaa umeoa ila wanawake hauwajui hata punje. Wanawake ni heros of manipulations hayo yote maigize unaektiwa na wewe unazama kama boya. Mkuu nipe namba ya mkeo nimshauri kitaalam kushusha presha.

Nipe namba nimtombe maana hilo ndo kwa hakika litatokea tena na tena na tena na unastahili kabisa kutombewa
 
Katika kipindi hiki chote alijua sababu ya mimi kuishi hivyo ni yeye kuchepuka, hii ni baada ya jana jioni kuniita Chumbani na kusema anajutia sana kufanya vile na hatarudia, jambo baya zaidi akasema ameshafikiria mara mbili kunywa Sumu, anaona hana thamani tena kwangu, Dah
emoji24.png
emoji24.png
nilimwonea huruma sana na nikaamua kumsamehe tuendelee na maisha lakini naona hali haijabadilika kwake yaani ni mtu wa mawazo na wasiwasi muda wote, kiufupi anapitia wakati mgumu sana.
Umesema mengi lakini hujasema kama kuna siku alikiri viwango vyako vya TBS
 
Kwa ambao hamkuwahi kuishi na mwanamke mtamponda lakini hakuna kitu kibaya ndani ya nyumba kama kukaliana kimya hapo ilibidi ufanye ivyo kama mwezi akijirudi mwambie akupe namba ya X wake chimba mkwara mzito.

Baada ya hapo mpe masharti mapya kwenye mji wako

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wengi wanaokejeli usikute hata hawajaoa na wapo na vi gelofrend ambavyo navyo wana share scania zima.
 
huna lolote Dp...

ungempenda mkeo usingeshinda hapa kumsifia mchepuko wako....

sema unaishi nae tu kwasabab mnawatoto
Sio kweli,
Mchepuko namleta Hapa sio kwa kumsifia Bali ni kwa ajili ya wengine wajifunze.
 
Back
Top Bottom