Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Mtu akikuchit maana yake amekudharau ukimsamehe anayechit maana yake umejidharau
 
jamaa atakuwa alisomaga cuba
 
ila hii dunia kila siku mapya yanatokea
 
Yani nyege za siku 6 tu zimekufanya ukimbilie kutoa msamaha kirahisi hivyo.. [emoji3][emoji3]

Sent from my SM-G930U using JamiiForums mobile app
 
sisi wengine ni WARUSI,hatunaga huruma,akilikoroga lazima alinywe lote..
 
Nyie ndio manapewaga sumu. Mwanamke yuko tayari kuitwa Mjane anaona no heshima kuliko kuachika kwa fedheha
 
Ukute ukiondoka anachat na mkeo akielezwa nini cha kufanya. Ulitakiwa umkanye mgoni wako na mkeo umrudishe kwa wazazi wake aje kuomba msamaha na wazee
 
Hukuwa na haja ya kumpiga hayo matukio yote mkuu, Kama uligundua anachepuka na mwanaume mwingine ungerudi ndani faster kumchana na kumwambia umeustukia huo mchezo wake na Kisha umwambie utakuja kumfanyia kitu kibaya Sana.
Hapo utakuwa umemtandika vya kutosha mpaka majirani wake kumuokoa.
 
Hamna unachofanya hapo zaidi ya kupoteza muda. Bible yenyewe inaagiza kuwa mwanaume haachi mke ila tu kwa kosa la uzinifu. Sasa wewe mtu umeprove amecheat unacheza nae michezo ya madeko?!

Hapo usubirie tu ni swala la muda atajua ameshapata bwege lake, atarudia tena this time atakuwa makini tu usijue ila lazima atarudia tena.

Mwanamke anae saliti huwa haachi tena mbaya ukijua halafu upotezee uendelee nae aaaah hapo utakoma wewe sasa.
 
Unakaa mitaa ipi niwe jirani yako na mie nmchape alaf uishi nae hvyoo
 
"7. Kila kitu najifanyia hadi nguo chafu zote za kwangu nakusanya na kufua mwenyewe nikipata nafasi(Ninapokuta amezifua narudia kufua)"
 
Kwa sababu niligundua anachepuka na sikuwahi kumkamata akiwa na huyo ex kitandani na baada ya mke wangu kupitia matatizo sana na hali mbaya sana ya kiafya na kuruhusiwa Kutoka hospitalini, kilifanyika kikao cha Pande zote mbili, upande wa familia yangu & familia yake, nilihamua kumsamehe mke wangu na kwa sasa maisha yanaendelea, mimi na mke wangu tunaendelea kuishi pamoja.

Asanteni sana kwa wale mliotoa ushauri wenu(mzuri au mbaya) na sikuweza kuufanyia kazi ushauri wenu.

Mwisho kabisa, ndoa inahitajika uvumilivu sana, unapoona wazazi wako wameishi pamoja miaka 30 n.k usisifikiri ni rahisi,kwahiyo kama hujajiaadaa kupambana na changamoto za ndoa na familia usijaribu kabisa kuoa/kuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…