Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aiseee...jaribu wix...hi cream Sio Kwamba inatrend mitandaoni....Ni nzuri kweli...yaani ninhekuwa na hela ningenunua na sabuni na serum...
Ni nzuri sanaaa mydear
Mpeleke SH AMON....utakuja kunishukuru
Nenda nae wauone huo uso ndio watampa tiba stahiki
Hao SH AMON wanazo dawa nyingi lakini huwa wanapenda wamuone muhanga live ndio wampe inayomfaa kulingana na tatizo.Ni wapi SH AMON? naomba picha ya hiyo dawa, je! Kwa mwanaume inatibu na kuyaondoa machunusi?
Hao SH AMON wanazo dawa nyingi lakini huwa wanapenda wamuone muhanga live ndio wampe inayomfaa kulingana na tatizo.
Yes hata kwa wanaume institute tu.
Naomba dawa ya pores.Eskinol ni facial cleanser..
Baadhi ya Cleanser zinasaidia kupunguza ama kumaliza tatizo. Ila sii kusema ni dawa, kuna chunusi ni sugu wewe 😀
Na wala asifikirie kuzaa within a year baada ya matumizi ya dawa 🙌Tafuta
Acnotin 20mg anywe kimoja kila siku usiku kwa mwezi mzima huku akipakaa Acne free cream.
Rudi hapa baada ya mwezi. NB asiwe mjamzito
Chunusi dawa yake ya kwanza kabla ya yote ni usafi........Mto anatumia kulalia na mashuka yawe yanabadilishwa mara kwa mara sio shuku Moja na foronya vikae week.Habarini Wana Jf
Mke wangu anasumbuliwa na chunusi za uso zisizoisha ametumia lotion nyingi bila mafanikio naomba mnishauri atumie nini?
Kwamba inafunga uzazi hiyo dawa?Na wala asifikirie kuzaa within a year baada ya matumizi ya dawa 🙌
Masharti magumu
Hii ndio dawa pekee.... mengine mahangaiko tuTafuta
Acnotin 20mg anywe kimoja kila siku usiku kwa mwezi mzima huku akipakaa Acne free cream.
Rudi hapa baada ya mwezi. NB asiwe mjamzito
Unalizungumziaje suala la hiyo dawa kukufqnyq utop kubeba ujauzito wakati wa matumizi yake?Hii ndio dawa pekee.... mengine mahangaiko tu
Ndio masharti yenyewe, Isotretinoin ni kali sana itampa mtoto defects.Unalizungumziaje suala la hiyo dawa kukufqnyq utop kubeba ujauzito wakati wa matumizi yake?
Apige miezi 4 tena aisindikize na doxy, baada ya dozi hatakuja kutokewa na chunusi maishani mwake.Tafuta
Acnotin 20mg anywe kimoja kila siku usiku kwa mwezi mzima huku akipakaa Acne free cream.
Rudi hapa baada ya mwezi. NB asiwe mjamzito
Hiyo inaleta kansa msijaribu,baada ya miaka kumi na tano mtaanza kuonaApige miezi 4 tena aisindikize na doxy, baada ya dozi hatakuja kutokewa na chunusi maishani mwake.