Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

kwa wengine uzoba unalipa, sasa kama watu wanaoa mishangazi si ndio uzoba wenyewe huo?
 

Hatari sana Mkuu
 

Kwa hiyo wewe hutomruhusu mkeo kwa sababu unaogopa vigogo watamshughulikia? Hiyo ndio hofu yako kuu au kuna kingine?
 
Wajuba hofu yao ni kuwa siasani huko kuna Mapapa ambao hawana msamiati huruma wala kusaza hata makombo. Alafu wakiondoka wanaondoka na mke jumlajumla. Na huna kitu utawafanya zaidi ya kubweka bweka na kulaaani kama mbwa koko
haya mambo ni kweli yapo na hakuna wa kukemea tabia hiyo. Unakuta pisi kali zimejazana huko unajiuliza hawa kweli wataachwa?
 
Mtibeli, sio siasani tu ndio kuna hizo tabia za kishenzi, zipo mpaka makazini, huko wanajitoa ufahamu na kujizima data kabisa kuwa ni wanandoa na wanapaswa kuzilinda ndoa zao hata katika mazingira hayo
 
Kumekuwa na tabia za kutokuheshimu ndoa za watu, na wanandoa wenyewe nao hawaheshimu ndoa zao wawapo mbali na wenza wao, mwendo ni mitongozano tu
 
Kuna taaluma ambayo haina hadhi na heshima?
 
Hii umeandika tu kama mada kuhusu mwanamke au mke wa mtu kuingia kwenye siasa. Haimuhusu mke wako hata kidogo!!!!😁😁😁😀😀
 
Inasikitisha sana! Mwanandoa anarudi nyumbani kachoka mbaya, imechakazwa huko mpaka imejeruhika, sema watu huwa hawachunguzi mbunye kama iko sawasawa na hawagundui kama imetoka kuchakazwa, utaona siku hiyo shoo haitolewi, mara naumwa, mara nimechoka, kumbe ni kuficha makosa. Ukioa mwanasiasa ni kuvumilia tu maisha ndoa yaende
 
Hii umeandika tu kama mada kuhusu mwanamke au mke wa mtu kuingia kwenye siasa. Haimuhusu mke wako hata kidogo!!!!😁😁😁😀😀

😃😃
Sasa wewe kwani upo hapa nyumbani kwangu?

Wewe utamruhusu mkeo? Jibu lako little ufafanuzi
 
Aiseeh!
Inaogopesha sana. Kwa hiyo kwa mwanamke siasa kwake inaweza kuwa mtihani sana ambao unaweza kuharibu maisha yake ya familia aliyokuwa nayo.
Hii tutaitatuaje kama taifa?
Kwenye level ya taifa ni mbali sana kuna kazi kubwa ya kukata mizizi iliyoachwa na babu zetu,binafsi uzao wangu nitawaweka bayana sitafurahishwa wao kujihusisha na mambo ya utawala kwenye taifa hili ikiwemo na vyombo vinavyohusika kwenye maamuzi ya watawala.
 
Kutafuta ni sahihi kwa maisha ya sasa,ishu ni anakwenda kufanya shughuli gani?
 
Wazeee wana Siri sana,mzee mmoja tulikutana kwenye mkusanyiko wa watu wengi(event) sana kuna jamaa mmoja ni giant mno akapita kutusabahi.
Alivyoondoka yule mzee akasema jamaa ana frame nzuri huyu enzi zetu mara moja moja unamuachia wife apunguze visirani😅,lakini miaka yenu hii maradhi mengi au mke anaweza kusepa jumla.
Mzee alinichosha sana na hoja yake,wahenga 60+ kuna ukweli hapa?
 
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Umemuelewa vizuri?
Kama bado nenda kaombe tafsiri nzuri kwa Prof. Tibaijuka
 
 
R.I.P in advance ndoa yenu.

Afike bungeni( kufika hapa atakuwa tayari kuna mengi) awekwe kwenye vikamati vya bunge kila siku kudhurula pamoja na ugeni wake bungeni mpaka aje ashtuke maofisa wa bunge, usalama,wabunge n.k watakua wamempa haki yake! Labda kama ana shape ya Rango
 
Mpe uhuru afanye kile akitakacho,Wivu wivu wivu hautakufikisheni popote...BE POSITIVE NA USIANGALIE JAMII INAYOWAZUNGA
Hiyo jamii hakuna siku itakuja kutimiza ndoto za shemeji yetu..Kuwa naye bega kwa bega jitahidi kuwa positive kwenye ili jambo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…