Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

Nikikumbuka uzi wako kuhusu matukio ya oct 29 na the way uliyemtaja ni mkeo alikua worried na wewe kuwepo mitaa ya jiji la daslama ili hali palichafuka am sure hii ni content tu umetengeza.
Kongole kwa kufikiria mada kama hii,wadau wengi wameeleza tena kwa mifano kadha wa kadha na ninaungana nao kuwa ndoto aliyonayo mkeo si afya kwa familia .
Kuna mkoa nimewahi kuishi miaka ya nyuma kuna wake za watu tena watu wazima kipindi hicho (chadema 2 na 1 ccm) baada ya nyadhifa ndoa zao zilikua taabani/wanaishi kulea watoto.
Kuna ostaadh mmoja mkoa ninaoishi sasa ,mzee kakubali yaishe mke kaingia kwenye ulingo wa siasa watoto ni wakubwa tayari.
Sheikh kamuachia mke utafutaji kupitia siasa yeye analea watoto,kampa uhuru mke ilimradi arudi nyumbani hata alfajiri 🙌
Mwisho umeuliza ingelikua ni mimi msomaji ningechukua hatua gani?
Jibu ni moja kama ndoto ya kuingia kwenye siasa tena kwa mazingira ya nchi yetu na ameshupalia basi maisha yetu kama wanandoa yatafikia ukomo papo hapo.
NB:Kwa mtu muungwana Siasa si mambo ya kujihusisha moja kwa moja si kwa baba wala mama wa familia,

Aiseeh!
Inaogopesha sana. Kwa hiyo kwa mwanamke siasa kwake inaweza kuwa mtihani sana ambao unaweza kuharibu maisha yake ya familia aliyokuwa nayo.
Hii tutaitatuaje kama taifa?
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
qmamae siku za fal.a ni 8 na hatima ya mjinga ni 10. Daima nimekua naeleza kuoa mke msomi na carrier woman HAIFAI. Na mtu namba moja kunipinga ni huyu huyu Robert.

sasa yako wapi TUNAENDA KUMTOMB.A HUYO SUPAWUMAN mpaka maku iwe kama gunia kmamae.

TATIZO WATU HUWA WABISHI, KAMA KWELI MWANAUME UNATHAMINI USTAWI WA FAMILIA, MSHIKAMANO NA UIAMARA WA FAMILIA YAKO KAMWE HAUWEZI KUOA MWANAMKE CARRIER WOMAN, lazima yatakutokea puani tu.

Haya sasa yakowapi kujifanya mwanaume wa kisasa women emporwement, sasa wamesha muempower mke wako na mpaka kufikia hapo kishatombek.a vya kutosha.
 
😄😄
Sasa mbona unakuwa kama unashangilia ushindi mkuu? Kipi kinakufurahisha. Naona kama umetwaa taji
 
Sipati picha wakati mke wako anapigwa mauno na Wasira.
 
Akijiunga tu fahamu kuwa ataliwa sana na ukubali kugongewa mkewe hakuna namna. Kuna mwenzako kaona isiwe taabu kampa mkewe uhuru maadamu wako naye hawataachana wacha tu aliwe huko akirudi nyumbani itaoshwa na yeye mmiliki halali aitumie, huyo jamaa hana wivu naye kajiongeza anajigongea nje, ngoma droo
 
M-support.

Kuwa Strategist7 behind her success. Hii itampunguzia kutumika.

Wanasiasa wote wanawake waliofanikiwa ni ama wana support za waume zao au za familia (ndugu) with exceptional ya wale waliofanya siasa chafu akina Nshoza .

Mmeandaa shingapi?

Hata akiwa behind his success kwenye siasa lazima aliwe.
Tena kama ni mgeni lazima atokee mmoja wa kuoa kabisa.

Na akiwa ni mwanamke ambae hajawahi kushika pesa nyingi kwa wakati mmoja ndoa ni lazima ivunjike.
Huku ngazi ya juu kuna mijamaa inajua kuhonga.
Sasa mke wa mtibeli kashawahi kupewa million akanywe soda???
Jamaa akikubaliwa kutoa 10 au 20m sio shida zake.
Na mijamaa hiyo ina wanawake wa Kkutosha ukifumania au ukijua mko wengi msamaha unaenda kuombewa Paris na shopping juu.

Na Kuna ile bidada unaitwa ,,,
Wenzio wamehonga hela hizi hapa wapate ubunge hata udiwani.
ukiangalia figure ni kubwa unapewa sharti moja tu uwe mwenzangu huko bungeni yanayobaki niachie mimi dada atakataa????? huku na asali analambishwa atakataa???

Halafu na familia ijiandae kuwa ya kishirikina. angekuwa wa kiume ningemwambia ajindaa na pesa na akubali hata kufirisika huku akiwa kapata au kakosa.

Kama anatoka familia ya kisiasa ajiandae kupangua fitna
 
qmamae siku za fal.a ni 8 na hatima ya mjinga ni 10. Daima nimekua naeleza kuoa mke msomi na carrier woman HAIFAI. Na mtu namba moja kunipinga ni huyu huyu Robert.

sasa yako wapi TUNAENDA KUMTOMB.A HUYO SUPAWUMAN mpaka maku iwe kama gunia kmamae.

TATIZO WATU HUWA WABISHI, KAMA KWELI MWANAUME UNATHAMINI USTAWI WA FAMILIA, MSHIKAMANO NA UIAMARA WA FAMILIA YAKO KAMWE HAUWEZI KUOA MWANAMKE CARRIER WOMAN, lazima yatakutokea puani tu.

Haya sasa yakowapi kujifanya mwanaume wa kisasa women emporwement, sasa wamesha muempower mke wako na mpaka kufikia hapo kishatombek.a vya kutosha.
sikila wewe, kuna wajuba wanafahamu pima kuwa wake zao wanatombeka sana nje ila wamejitoa ufahamu ili wanufaike kiuchumi, wake zao wanaleta mpunga nyumbani, wajuba wameamua kuwa mazoba ili maisha yasonge mbele isiwe taabu
 
Nia ya kuingia kwenye Siasa ni nini?.

Kuhusu kujiheshim.
Nitakutolea mfano mmoja nikitulia.

Ila Don't trust Woman.

Lengo amesema kuwatumikia ninyi Watanzania?

Ukishaingia kwenye taasisi ya ndoa Trust huwezi iepuka. Huwezi Jenga Dola na Familia kama hautajenga trust wanafamilia.

Issue hapo ni kiwango cha trust
 
Back
Top Bottom