Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

90% wapo mahali walipo kwa sababu ya ushawishi wa kingono.
Kuna kijiji niliishi wanawake wote ninaowajua waliokuwa very active kwenye issue za siasa waliishia kuachana na waume zao. Sasa kama huko local areas mambo ni hayo, unategemea kwenye maslahi zaidi patakuwa na slope?
Ahaa haya sawa
 
Ndio umeona wangap waliotumika kingono
Na niwangap ambao hawakutumiwa ili tulinganishe
Mm ninawajua wanawake wawili.
Tena ni wazuri haswaa. Wameenda hewan. Weupe , mmoja kachanganya na Uarabu ,

wote walikuwa wanausaka udiwan. Harakan walianza 2023. Mmoja ni Temeke na
Mmoja alirudi kwao Mtwara.
Huyu wa Temeke ni mshirikina, kuna kipind alipataga mume wa mtu akamroga had akasahau familia. Na rafik ake wa karibu ndiye alisema ana mganga mzur anataka aroge awe mwanasiasa. Na kweli nikaona kaanza Siasa. Na ninamjua vizur ni Malaya mmoja.

Huyu wa mtwara alikitembeza Balaa had picha zake zilivujishwa huko kwao. Na sms za kujitongozesha kwa viongozi wa CCM.

Hawa walikuwa Chawa kweli kweli.
Kipind hiko 2023-2025 instagram na whatsapp status ilikuwa haipoi na mapicha yao ya Kijani.

Ila hawakupata ile nafas.

sasahivi naona kama wote wamepunguza uharakat. Picha za Mama na CCM wamezifuta kwa Instagram pages zao.

Sasa Shemej yetu yuko tayar kupambana na yote haya?.
 
Aisee hii noma

So juhudi hazikuzaa mtunda 😢
sasahivi naona kama wote wamepunguza uharakat. Picha za Mama na CCM wamezifuta kwa Instagram pages zao.

Sasa Shemej yetu yuko tayar kupambana na yote haya?.
Hapo jibu analo mwenyewe mkuu
 
Ahaa haya sawa
Mfano kwa CCM unaweza ukaona ni rahisi kusema mm ni CCM alaf ukadhan watakupa jukwaa uonyeshe umahiri wako wa siasa.

Thubutuuu 😊😊😊
Mlolongo uko complex sana.

Hawa Chawa wa humu ndan wenyewe hasa yule aliyeweka jina lake kamili. Anaweza akaenda Jimbon kwake akaomba nafas ya uongozi na asipewe.

Mambo sio marahisi hata kidogo.
CCM ina wenyewe.
 
Asikilizwe anahoja

Nyerere mwenyewe aliona kuhudumia jamii Kwa darasa Moja haitoshi

ruhusu mkeo atanue huduma Kwa jamii

ila aende chadema ccm asithubutu atakuletea ngwengwe(wamu redio)

Mtibeli
 
Mfano kwa CCM unaweza ukaona ni rahisi kusema mm ni CCM alaf ukadhan watakupa jukwaa uonyeshe umahiri wako wa siasa.

Thubutuuu 😊😊😊
Mlolongo uko complex sana.
Mpka connection 😊
Hawa Chawa wa humu ndan wenyewe hasa yule aliyeweka jina lake kamili. Anaweza akaenda Jimbon kwake akaomba nafas ya uongozi na asipewe.
Ni yupi huyo mie ni mgeni humu jukwaani
Mambo sio marahisi hata kidogo.
CCM ina wenyewe.
CCM ina wenyewe kweli
 
Ni yupi huyo mie ni mgeni humu jukwaani
Lucas washamlamba.
Pamoja na harakat zake anaweza akaomba kugombania cheo na akakosa .

Alaf yule Diwan aliyepata , alianza harakat 2017 hiv alifungua Kampun ya kukopesha wakina mama tu , wanaofanya biashara ndogo ndogo . mikopo ya riba nafuu. Kafungua kaofisi kake.
Na alienda kwenye vile vikund vya kina mama akamwaga hela.

Mwenyewe aliniambia alipoteza karibia 60 Million . Na bado aliwapa kula baadhi ya viongozi wa wilaya na mkoa.

Na ndio jina lake likapita 2020. Na kweli alipata Udiwani.

tena Ukiwa maskin na hujui uanzie wap.
Nafas za Uongozi CCM ni ndoto.
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu jiangalie vizuri, mkeo ana mentor wa kisiasa kisirisiri.
 
M-support.

Kuwa Strategist7 behind her success. Hii itampunguzia kutumika.

Wanasiasa wote wanawake waliofanikiwa ni ama wana support za waume zao au za familia (ndugu) with exceptional ya wale waliofanya siasa chafu akina Nshoza .

Mmeandaa shingapi?
 
Lucas washamlamba.
Pamoja na harakat zake anaweza akaomba kugombania cheo na akakosa .

Alaf yule Diwan aliyepata , alianza harakat 2017 hiv alifungua Kampun ya kukopesha wakina mama tu , wanaofanya biashara ndogo ndogo . mikopo ya riba nafuu. Kafungua kaofisi kake.
Na alienda kwenye vile vikund vya kina mama akamwaga hela.

Mwenyewe aliniambia alipoteza karibia 60 Million . Na bado aliwapa kula baadhi ya viongozi wa wilaya na mkoa.

Na ndio jina lake likapita 2020. Na kweli alipata Udiwani.

tena Ukiwa maskin na hujui uanzie wap.
Nafas za Uongozi CCM ni ndoto.
Aisee kama ni hivyo amuhudumie mme wake hamna namna
 
Yalikukuta nini

Unajua sana patern 😂
Yupo mshikaji wangu yalimkuta, nilimuonya akaniambia hiyo ni fursa ya wao kuweza kuinua familia yao, lakini ikawa kinyume mwanamke kapewa ubunge wa vitu maalumu na ndiyo ikawa balaa kaota mapembe anamanuliwa na wafadhlili waliompa ubunge kuanza kumuona mumewe siyo wa hadhi yake tena, ndoa illegal lega mwisho mwanangu akajikata na kumuacha mke kabisa. Labda kama mwanamke ana sura ngumu kama yule msemaji aliyestaafishwa kwa lazima wanaweza wakampotezea tu.
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mwambie siasa ni mchezo mchafu, ataweza? Anajua sabani za kuogea punde anapochafuka?
 
Nikikumbuka uzi wako kuhusu matukio ya oct 29 na the way uliyemtaja ni mkeo alikua worried na wewe kuwepo mitaa ya jiji la daslama ili hali palichafuka am sure hii ni content tu umetengeza.
Kongole kwa kufikiria mada kama hii,wadau wengi wameeleza tena kwa mifano kadha wa kadha na ninaungana nao kuwa ndoto aliyonayo mkeo si afya kwa familia .
Kuna mkoa nimewahi kuishi miaka ya nyuma kuna wake za watu tena watu wazima kipindi hicho (chadema 2 na 1 ccm) baada ya nyadhifa ndoa zao zilikua taabani/wanaishi kulea watoto.
Kuna ostaadh mmoja mkoa ninaoishi sasa ,mzee kakubali yaishe mke kaingia kwenye ulingo wa siasa watoto ni wakubwa tayari.
Sheikh kamuachia mke utafutaji kupitia siasa yeye analea watoto,kampa uhuru mke ilimradi arudi nyumbani hata alfajiri 🙌
Mwisho umeuliza ingelikua ni mimi msomaji ningechukua hatua gani?
Jibu ni moja kama ndoto ya kuingia kwenye siasa tena kwa mazingira ya nchi yetu na ameshupalia basi maisha yetu kama wanandoa yatafikia ukomo papo hapo.
NB:Kwa mtu muungwana Siasa si mambo ya kujihusisha moja kwa moja si kwa baba wala mama wa familia,
 
M-support.

Kuwa Strategist7 behind her success. Hii itampunguzia kutumika.

Wanasiasa wote wanawake waliofanikiwa ni ama wana support za waume zao au za familia (ndugu) with exceptional ya wale waliofanya siasa chafu akina Nshoza .

Mmeandaa shingapi?

Kumbe lazima mtaji uwepo. Hela zitoke. Unamaanisha sio kumsapoti tuu kimaneno bali pamoja na kifedha?
 
Back
Top Bottom