Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

Dunia ina maajabu kuna mmoja baada ya kushindwa uchaguzi kutetea kiti wanachama wenzake walihuzunika sana ,maajabu familia(mke) aliweka sherehe kubwa kufurahia.

Ndoa ilikuwa mahututi kipindi yupo kwenye nafasi .
 
Sijui kama kweli mganga hajigangi?
Vipi wewe unaweza mruhusu mkeo aingie kwenye siasa?
Mkuu kwangu Mimi haiwezekani abadani. Kuchagua siasa ni sawa na Mimi kunipa talaka yeye mwenyewe haihitaji kikao kujadiri hili.

Huko unakoenda tutakupoteza hao kijank Si wazuri kabisa wanachukua mkeo ama wanakuja kabisa tuna mifano mingi mingi mno Haina haja ya kuisema hapa.

Na unajua fika mwanamke akikuzidi hata kipengele kimoja TU umeisha na mara kadhaa umekuwa ukilisema hili.

Tumia mfumo dume hata kama utakuumiza Kwa muda.
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mkeo akijiunga chadema lazima uwe na wasiwasi sababu ya ,mambo mawili makuu;
1. Kupigwa tOne tOne
2. Kugeuzwa kuwa nyumbu, yaani kule thinking is prohibited. Pekee unachotakiwa kufanya ni kumchekea Mwenyekiti tu basi na si kuhoji chochote.
 
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Kama anamaanisha na ameshaamua hutaweza kumzuia, ma sponsor wake wa Mbogamboga huko wapo macho maana hiyo ni 'chakula' yao tayari.

Kama yupo serious we kuwa mpole tu, tafuta mzigo mwingine
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Alipofika hapo alisemaje.
 
Kuonyesha nia ya Kutaka Uongozi ni jambo moja.
Kupata nafas ya Uongozi ni jambo lingine.

Mm nadhan Mruhusu ili ajione mwenyewe.

Pia ni Chama Gan anataka kujiunga?.
Ni msukumo gani ameupata hadi aamue kuingia kwa Siasa?.

Nina watu wa karibu kadhaa ambao kwa miaka na miaka (15 hivi) wamejaribu kutafuta Nafas ya uongozi ndan ya CCM. Nadhan wanafika 10 hivi . Ila ni mmoja tu ndio alifanikiwa kuwa Diwani. Wengne wanapata vivyeo ambavyo havikupi jukwaa la kuonyesha umahiri wako kwenye Uongozi na kutetea Raia na rasiliamali zao.

Na kwa wanawake ndio weng wataishia kulala na viongozi wa juu ili wapate watetezi na kuchaguliwa sehem kuiwakilisha hiko chama.

Walowezi ni wengi, matajiri ni wengi, vita ni kubwa, kuna wazoefu wa miaka na miaka wanasubiria zamu yao ifike nk.

Vyama vingne ni rahisi sema Changamoto zake ni kusumbuliwa na polisi na kubaniwa kwenye mambo yako.

yeye amejiandaaje kwenye haya?.
 
Hamjambo wote!

Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.

Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.

Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.

Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.

Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.

Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia.

Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.

Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.

Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.

Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.

Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.

Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!

Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.

Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.

Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.

Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?

Mimi nimemaliza.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mimi nimependa ndoto yake
 
Ndio umeona wangap waliotumika kingono
Na niwangap ambao hawakutumiwa ili tulinganishe
90% wapo mahali walipo kwa sababu ya ushawishi wa kingono.
Kuna kijiji niliishi wanawake wote ninaowajua waliokuwa very active kwenye issue za siasa waliishia kuachana na waume zao. Sasa kama huko local areas mambo ni hayo, unategemea kwenye maslahi zaidi patakuwa na slope?
 
Back
Top Bottom