min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 61,672
- 178,673
Kwanza hata hilo wazo ukute kuna boya kampa , kwamba atahakikisha anafanikisha🤔Hapa tumia kanuni ya mfumo dume, hawa wajinga ni vitombi balaa na wengi wameungua ARV ndiyo zinawabeba tu.
Kwanza hata hilo wazo ukute kuna boya kampa , kwamba atahakikisha anafanikisha🤔Hapa tumia kanuni ya mfumo dume, hawa wajinga ni vitombi balaa na wengi wameungua ARV ndiyo zinawabeba tu.
Pole sana Mkuu ,kwanza mpk hapo huyo MKE kaishaliwaHamjambo wote!
Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.
Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.
Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia. Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.
Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.
Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.
Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.
Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.
Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!
Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.
Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.
Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Na huyo boya kaisha MLA Sasa anataka amle ZaidiKwanza hata hilo wazo ukute kuna boya kampa , kwamba atahakikisha anafanikisha🤔
Na huu ndio ukweliPole sana Mkuu ,kwanza mpk hapo huyo MKE kaishaliwa
Pili kama huko chama ni CCMajamaa mwakani Yana uchaguzi wao ,huyo kaishapewa nafasi na wakubwa ,aende kuwaliwaza
Kabisa , anajisogezea tu karibu.Na huyo boya kaisha MLA Sasa anataka amle Zaidi
Mkuu we subiri maumivu tu ,jifanye mwema ,Lakini namuonea huruma kumzuia ndoto yake.
Najaribu kuangalia mamlaka yangu iko kihalali kumzuia mke kutimiza ndoto zake?
Au nitumie ubaba ni ubabe kwa maslahi ya Dola(familia) ambapo soo haki?
Mie siasa nazijua, Dada angu aliingia huko akaachana na mumewe,Sasa hv Diwani viti maalumNa huu ndio ukweli
Kwa hiyo mke wa mpare kwa upembuzi yakinifu keshadonolewa?Mie siasa nazijua, Dada angu aliingia huko akaachana na mumewe,Sasa hv Diwani viti maalum
Ata au amesha?Wadau naona wanasisitiza kwamba atatombwa na wana-lumumba. Hebu jaribu kumweleza wasiwasi wako kuhusu jambo hili uskie anasema nini kwanza. Lakini kwako pia unaathirika vipi akifanya siasa!
Duuuh! Ilikuwaje?
Ni kwamba anakuwa sio mwaminifu yeye au mfumo unamuweka kwenue line?
Kulombwa hakukwepeki Mkuu,yeye kama atakubali aingie huko ,asiwe anamufuatilia, huko Kuna vikao Hadi usiku wa manane vya mikakati na Kampeni,Kuna ma utani ya kijinga jinga sana, Kuna Kipindi atataka hela ili awawini wajumbe,hapa vigogo lzm visaidie vipate urodaWadau naona wanasisitiza kwamba atatombwa na wana-lumumba. Hebu jaribu kumweleza wasiwasi wako kuhusu jambo hili uskie anasema nini kwanza. Lakini kwako pia unaathirika vipi akifanya siasa!
Duh!..Atakuwa siwako tena mkuu,mifano ipo Mingo sana
Hahahaha,siku nyingi, kwa uzoefu wangu wa Siasa kadonolewa kipindi Cha kampeni ya uchaguzi Mkuu ,Sasa mdonoaji na mdonolewa wamenogewa , wanataka mwakani waingie RASMI huko ktk SiasaKwa hiyo mke wa mpare kwa upembuzi yakinifu keshadonolewa?
Duh!..poor Mtibeli...😔😔Hahahaha,siku nyingi, kwa uzoefu wangu wa Siasa kadonolewa kipindi Cha kampeni ya uchaguzi Mkuu ,Sasa mdonoaji na mdonolewa wamenogewa , wanataka mwakani waingie RASMI huko ktk Siasa
Mtibeli KAZI anayo
Jiandae mkuuuDuh!..