Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,472
- 3,927
Naukute huyo boya yuko humu anamzoom..... Nasemaje huko chamani wanazichapa sana mbususu navyeo wanahonganaNa huyo boya kaisha MLA Sasa anataka amle Zaidi
Naukute huyo boya yuko humu anamzoom..... Nasemaje huko chamani wanazichapa sana mbususu navyeo wanahonganaNa huyo boya kaisha MLA Sasa anataka amle Zaidi
Acha uchonganishi mkuuHahahaha,siku nyingi, kwa uzoefu wangu wa Siasa kadonolewa kipindi Cha kampeni ya uchaguzi Mkuu ,Sasa mdonoaji na mdonolewa wamenogewa , wanataka mwakani waingie RASMI huko ktk Siasa
Mtibeli KAZI anayo
Ngumu kumeza mkuu!Kulombwa hakukwepeki Mkuu,yeye kama atakubali aingie huko ,asiwe anamufuatilia, huko Kuna vikao Hadi usiku wa manane vya mikakati na Kampeni,Kuna ma utani ya kijinga jinga sana, Kuna Kipindi atataka hela ili awawini wajumbe,hapa vigogo lzm visaidie vipate uroda
Sichonganishi ni Hali halisi, Siasa kwa mtoto wa kike tanzania ni ngumu kufanya Yeye kama Yeye bila kuwa na mdhamini, Mdau, tuongee ukweli tuAcha uchonganishi mkuu
Kama tayari ndo basi tena, hakuna haja ya kuendelea kumzuia au kuwa na hofu. Mtibeli atulie atafute solution nyingine.Ata au amesha?
Sina maoni zaidi asanteSichonganishi ni Hali halisi, Siasa kwa mtoto wa kike tanzania ni ngumu kufanya Yeye kama Yeye bila kuwa na mdhamini, Mdau, tuongee ukweli tu
Siasa ni mchezo mchafu ktk kila angle
Nina mifano hai ya wadada waliongia huko ,mwisho wa siku wakaachana na waume zao
Ashaliwa na Watu wa Green VegetablesHamjambo wote!
Hili jambo limekuwa likija na kuondoka katika meza yetu hapa nyumbani. Mwanzoni nilifikiri anazungumza kama sehemu ya utani. Hiyo ni miaka saba iliyopita tena ilikuwa kipindi kile cha uchaguzi wa serikali za mitaa 2019.
Mimi nikajua matani. Lakini kadiri siku na miaka ilivyoenda nikagundua anamaanisha.
Mimi nilimuuliza kwa nini anataka kuingia kwenye siasa. Anataka nafasi ipi!
Yeye akaja na hoja zake za kikatiba na kiitifaki;
Mosi, alisema anataka kuwatumikia wananchi wa bongoland. Nikamwambia kwani huwezi kuwatumikia kwa namna nyingine mpaka uwe mwanasiasa. Unaweza kuwatumikia kwa taaluma yako.
Akaniambia, yeye licha ya kuwa na taaluma yenye hadhi na heshima lakini anataka kutanua huduma yake. Kuwatumikia wananchi katika uongozi. Kama mwanamke shupavu, superwoman na mwenye uwezo anaamini ataweza.
Vipi kuhusu nafasi, akasema yeye atatumia nafasi za viti maaulum kisha atakuwa mbunge na hatimaye kuingia mjengo.
Nikamwambia mke wangu, uamuzi na ndoto yake hiyo ninaiheshimu sana lakini naona kama haipo sahihi na itatuharibia malengo na kuhatarisha maslahi ya familia. Kwani binafsi kama mume na kichwa cha familia sikuwahi kufikiria na sijajiandaa kuwa na mke mwanasiasa.
Akaanza kutoa hutuba zake. Mamaaa! Nikasema nimekwisha. Alivyokuwa akiongea ni kama mwanasiasa akiwa jukwaani akiwadanganya wananchi wake. Siasa! Siasa! Siasa tupu katika nyumba yangu.
Sasa nitaweka wapi sura yangu. Maana nilihisi fukuto, hasira sio hasira, mwanamke ni kama ameamua moja. Na mimi sitaki tuvunje ndoa na familia yetu. Itakuwa aibu sana.
Aibu huku mtandaoni, aibu mitaani. Yaani nitaweka wapi sura yangu.
Ooh! Mshauri wa mapenzi yamemshinda.
Ooh! Ulikuwa unajidai sana, kimekulamba.
Oooh! Kiko wapi. Tulijua tuu mtaachana.
Kwa kweli aibu nitaificha wapi. Mke anataka kuwa mwanasiasa. Anataka kula pesa za wananchi kwa kupeta tuu mdomo wake. Pyee pyee pyee!
Nikamwambia changamoto za Siasa kwa wanawake anazijua? Akaniambia anazijua na amejiandaa kukabiliana nazo.
Nikamuuliza anitajie changamoto kama Tatu zinazowakabili wanasiasa wanawake hasa chipukizi kama yeye.
Akataja. Alipofika kwenye suala la rushwa ya ngono. Nikahisi kama miguu inalegea. Suvari sio Sukari imeshuka. Presha sio presha.
Lakini anajiamini. Amesoma.
Anadai ni ndoto yake.
Anadai anauwezo.
Nia anayo, uwezo anao, nguvu anazo.
Mimi kwa kweli sijui nifanyaje. Najua wapo mtakuja kunidhihaki. Wapo mtakuja kunitukana na kunicheka. Kunizomea.
Sasa tuassume wewe ndio mkeo anataka kuwa mwanasiasa tena kwa ngazi ya kuwa mbunge. Ungefanyaje?
Ungemruhusu au ungemkatalia?
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
😁😁mwenyewe naona kama ameshadonolewa🤔Hahahaha,siku nyingi, kwa uzoefu wangu wa Siasa kadonolewa kipindi Cha kampeni ya uchaguzi Mkuu ,Sasa mdonoaji na mdonolewa wamenogewa , wanataka mwakani waingie RASMI huko ktk Siasa
Mtibeli KAZI anayo
Anaifanya Mshauri wa wenzakeLeo kungwi unataka Ushauri ?
Mshauri mkeo sasa chifu wng, mboni rahisi tu
Kwishaaaaaa fyu fyu fyuuu
Hahahaha, amini hivyo😁😁mwenyewe naona kama ameshadonolewa🤔
Mboga mboga hawachekeshi , nainawezekana mwamba huyo humu anasoma nyuzi za kitibeli na kwenda kuchekea chooniKama tayari ndo basi tena, hakuna haja ya kuendelea kumzuia au kuwa na hofu. Mtibeli atulie atafute solution nyingine.
Huo ndio ukweli na hata wewe unajua ugumu ulivyoSina maoni zaidi asante
Yeye asubiri kuitwa Mume wa mheshimiwa, Mama akiwa Dodoma anaambiwa usije Nina vikao vya chama, hahahaha,kumbe......Mboga mboga hawachekeshi , nainawezekana mwamba huyo humu anasoma nyuzi za kitibeli na kwenda kuchekea chooni
Sijui kabisa kuhusu hilo asante lakini kunijuza 😊Huo ndio ukweli na hata wewe unajua ugumu ulivyo
Mtibeli alivyo m bishi akija atapinga na mwisho wasiku atachapiwa mpka mtoto kwa ubishi wakeYeye asubiri kuitwa Mume wa mheshimiwa, Mama akiwa Dodoma anaambiwa usije Nina vikao vya chama, hahahaha,kumbe......
Hahahaha,aende akamuulize mume wa Bonna pale segera ,asome scandal ya katambi (kule x ) mifano mingiMtibeli alivyo m bishi akija atapinga na mwisho wasiku atachapiwa mpka mtoto kwa ubishi wake
Nadhani alimaanisha kwamba mleta mada anatufunga kamba a.k.aNimeona kuna mwamba kapost maburungutu ya kamba , kwamba wana akajidedishe😅
chai