Asee utakua na matatizo wewe yaani hapo kwenye red unachoka? tena unalalamika mgongo!!Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka kamoja na usiku kabla ya kulala kamoja! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?
SASA UTAFANYAJE? AKUTAFUTIE MSAIDIZI? WATU HATA KUTWA MARA TATU WANAWEZA? TUMIA...........1.Kahawa.2.karanga mbichi,4.konyagi,5.nyanya chungu,bamia halafu fanya joging angalau mara mbili kwa wiki. Aaaaah mengine nashindwa kukueleza hapa.si unajua tena? mchana huu, watoto wako likizo na hawajalala,...............baadaeMkuu, kitu inauma sasa! sometime nikiwaza hiyo kazi kitu kinalala doro!😕😕
kuna zingine sub machine gun zinabeba risasi kibao,atazimaliza zoteeeeeee.Labda amekuhisi una kamchezo ka nje, kwa hiyo anataka kuhakikisha anakausha MAGAZINE yote. Hata kama ni mwendaji wa huko magazine iwe haina bullet.
hehehehehe🙄Asee utakua na matatizo wewe yaani hapo kwenye red unachoka? tena unalalamika mgongo!!
mkuu naona ukaruka kutoka 2 mpaka 4?😕SASA UTAFANYAJE? AKUTAFUTIE MSAIDIZI? WATU HATA KUTWA MARA TATU WANAWEZA? TUMIA...........1.Kahawa.2.karanga mbichi,4.konyagi,5.nyanya chungu,bamia halafu fanya joging angalau mara mbili kwa wiki. Aaaaah mengine nashindwa kukueleza hapa.si unajua tena? mchana huu, watoto wako likizo na hawajalala,...............baadae
Nenda kamuone daktari. Kwa dozi hiyo unachoka?Heshima mbele wakuu,
Najua humu jamvini hakuna linaloshindikana! Mamsapu siku hizi anataka kula tunda bivu mara 2 kwa siku! Asubuhi tukiamka kamoja na usiku kabla ya kulala kamoja! Anadai kwamba inampunguzia 'stress na matamanio' awapo kazini! Hapa nilipo naugulia kiuno kinaniuma ile mbaya na hata naniliu nahisi kama vile inataka kukatika! Je, hali hii ikiendelea inaweza kuniletea madhara kiafya?
UNA BAHATI SANA PAPE Mshukuru Mungu kwa hilo.
Nenda kamuone daktari. Kwa dozi hiyo unachoka?
Wenzio wanalalamika kubaniwa we unalalamika kupewa?
Heshima mbele wakuu,