Ninja
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 354
- 546
we una bahati kweli mimi hapa napiga miezi sioni ndani hapa ninasema nishapiga mwezi na nusu bila ya goli hebu nitafutie nami kama huyo yaani nina usongo kweli,
Hapo kwenye red nikiweka kwenye mashine ya kimahesabu, sekunde tano ni nyingi, ukipewa wewe kwanza zitatokea nje na hutakuwa na hamu tena kwa mwezi na nusu tena.
Kama umeweza kukaa muda wote huo na una usongo hivyo, wewe huwezi kumfaa huyu jimama anayetajwa hapa, utamtesa tu. Huyu anahitaji kina Ruga.