Mke wangu anataka kuniua

Miss Natafuta akiiona hii thread lazima atapandisha nyege!!
 
Kunywa maji mengi asubuhi mapema, mchana kula mazagazaga ya matunda na uji wa ulezi au wa lishe, supu ya samaki nguvu zitarudi. usinywe red-bull ili uondoe uchovu. (msinifikirie kuwa ni mtaalam siyajui hayo bado mshamba mm nasubiri kufundishwa na nina jifunza kwenu)
 
Nashauri uongozi wa Jf ufungue jukwaa la watoto ili mada zao ziwekwe huko
 
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…