Mke wangu anataka kuniua

Mke wangu anataka kuniua

Kunywa maji mengi asubuhi mapema, mchana kula mazagazaga ya matunda na uji wa ulezi au wa lishe, supu ya samaki nguvu zitarudi. usinywe red-bull ili uondoe uchovu. (msinifikirie kuwa ni mtaalam siyajui hayo bado mshamba mm nasubiri kufundishwa na nina jifunza kwenu)
 
Nashauri uongozi wa Jf ufungue jukwaa la watoto ili mada zao ziwekwe huko
 
Habari wana JF,

Kwa hili analolifanya mke wangu amezamiria kuniua, toka nimerudi safari mke wangu anataka kila siku tupige mechi sio mchana wala usiku hii weeks tumesex zaidi ya mara 20, hapa sina hata nguvu ya kwenda kazini na yeye muda wote amelala, alafu kibaya zaidi tunakaa nyumba ya kupanga, kelele zake za kitandani zimezidi hadi wapangaji wanakerwa.

Naombeni msaada wana JF.
Pole
 
Back
Top Bottom