Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Ndiyo shida hiyo mkioana baada tu ya kumaliza form 6, wote frontal lobe zinakua hazijakomaa 🙂.Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali
1.Anataka nimsaidie kupika
2.Anataka nimsaidie kufua
3.Anataka niwahi kurudi home
4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda
5.Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui
6.Anadai hata akiumwa au mjamzito sitamjali maana sijui kupika na sina msaada wowote
7.Ananilazimisha ninunue TV, kabati, sofa n.k haraka iwezekanavyo
Karibuni kwa michango yenu
Nafanya na kila siku namwachia 20K ya matumiziNdiyo shida hiyo mkioana baada tu ya kumaliza form 6, wote frontal lobe zinakua hazijakomaa 🙂.
Enewei, jifunze kazi dogo na ufanye majukumu yako mengine kama mume.
Pinga wewe uliye singlePinga ndoa za utotoni
Dogo pole kwa kuolewaPinga wewe uliye single
Wewe ni lipumbavuuuu! Yaani mpaka unalinganishwa na wanaume wengine! Usikute ni kale ka dada Mwajuma kalikokuja kwangu juzi kakanisifia jinsi ninavyojua vitu vingi!Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali
1.Anataka nimsaidie kupika
2.Anataka nimsaidie kufua
3.Anataka niwahi kurudi home
4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda
5.Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui
6.Anadai hata akiumwa au mjamzito sitamjali maana sijui kupika na sina msaada wowote
7.Ananilazimisha ninunue TV, kabati, sofa n.k haraka iwezekanavyo
Karibuni kwa michango yenu
Hizo zote zinaitwa unpaid care work! Hivyo msaidie baadhi ya kazi naye apate muda wa kupumzika. Dogo una maisha magumu sana yaani kwenye hiyo namba 7 nimechoka kabisa! Yaani mpaka ulazimishwe kununua ka TV hata ka size ndogo? Unaenda kugongewa muda si mrefu!Wadau nimekuja kwenu nikiomba msaada wa hali na mali
1.Anataka nimsaidie kupika
2.Anataka nimsaidie kufua
3.Anataka niwahi kurudi home
4.Ananidharau eti kwa vile sijui kufunga kitanda
5.Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui
6.Anadai hata akiumwa au mjamzito sitamjali maana sijui kupika na sina msaada wowote
7.Ananilazimisha ninunue TV, kabati, sofa n.k haraka iwezekanavyo
Karibuni kwa michango yenu
Mkuu umepiga under belt! Dogo ni takataka kwa ufupi!Umeoa mtu anayekuzidi IQ?
Umekwisha
Sawa mimi ni lipumbaWewe ni lipumbavuuuu! Yaani mpaka unalinganishwa na wanaume wengine! Usikute na kale ka dada Mwajuma kalikokuja kwangu juzi kakanisifia jinsi ninavyojua vitu vingi!
Kaka umejuaje ni kweliKama nakuona vile unavua boksa unarundikia aje afue 😀
How mkuuKifupi ana,taka uwe yeye
Nishamsemea sana kakaKamsemee kwa babaake