Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 9,497
- 26,062
Haha ni mwanangu sana nimetoka nae mbaliHuyo jamaa hapigwi ignore
Nimeshamzoea
Huwa anatembea dislike nyuzi zangu zote
Haha ni mwanangu sana nimetoka nae mbaliHuyo jamaa hapigwi ignore
Nilimuignore juzi hadi nikamfungulia na uzi shangaq leo nakutana nachoHaha ni mwanangu sana nimetoka nae mbali
Nimeshamzoea
Huwa anatembea dislike nyuzi zangu zote
Ahaha ana id nyingi zinafananaNilimuignore juzi hadi nikamfungulia na uzi shangaq leo nakutana nacho
Osha vyombo hivyoPetty issues kama zipi
Haha kuna mbinu za ziada unajifunza kwenye kusugua sufuriaOsha vyombo hivyo
yeye ni mama wa nyumbani au lah?Mie alianzaga hizo inshu nikamwambia wewe ndiyo msaidizi wangu siwezi kukusaidia wewe badiri kauli
Kazi zote za hapa nyumbani ni zangu najua kufua , kupika , kudeki na kila kazi ya hapa kwangu hakuna inishindayo ndiyo maana nikakuleta wewe unisaidie . Ukiwa umechoka au hujisikii vzr niambie nguo ni chafu, hakuna msosi nitaona nifanye mwenyewe au nitafute msaidizi anisaidie 🤪🤪🤪🤪
Akaacha akatafuta binti
Hawa ukiwa bichwa komwe wanakuchukilia poa 🤣🤣🤣
Uwezi enjoy kurudi nyumban ila kama ni kwako lazima utamani kurudi nyumban mapemaNaishi nyumba ya kupanga
Kipindi hicho alikuwa mama wa nyumbaniyeye ni mama wa nyumbani au lah?
Nikikaa nyumbani kuosha vyombo pesa atatafuta nani?kuna shida gani wewe kupika na kununua tv,sofa na kabati?
kuosha hivyo si wanasema ni nusu saa tu?Nikikaa nyumbani kuosha vyombo pesa atatafuta nani?
Osheni nyie mi siwezikuosha hivyo si wanasema ni nusu saa tu?
siku akiumwa utakodi mtu?Osheni nyie mi siwezi
Kwahiyo nijiandae kisaikolojia? Kupika najua ila ni too localsiku akiumwa utakodi mtu?
haya mambo hayashauriki sana mkuu, kikubwa tu ni nyie kukubaliana maana zama zinabadilikaKwahiyo nijiandae kisaikolojia? Kupika najua ila ni too local
Nimekua sasa kakaUkiwa mwanaume tutakushauri, ila kwa sasa tunakuacha kwanza ukue