Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

Una.....mbewa huyo achana nae au vumilia tu .....
 
Kaka umejuaje ni kweli
Mimi huwa nafanya baadhi ya vitu haihitaji anambie

Kama kujaza maji kwenye pipa, weekend natoa tandabui kuzunguka nyumba, hata kusafisha madirisha. Kutoa mapazia kurudisha mapazia

Mama watoto kanizalia watoto watatu kwa operation, so nishamkataza kufanya kazi ngumu ndani ya nyumba

Hata kuzunguka nyumba sijui kung'oa majani nawapa madogo kazi nawalipa siku moja moja.

Sijawahi kuwaza kuwa inaweza kuwa hatari katika ndoa yangu. Hebu ngoja nisome comment za waungwana kunaweza kuwa na mawili matatu ya kuokota
 
Tatizo la huyu anataka ligi na wenzie huko saluni. Anataka awasimulie jinsi ninavyomsaidia
 
Nafanya na kila siku namwachia 20K ya matumizi
Kama unayo yasema hayo ni kweli..

Na unampatia 20k per day..

Basi mpaka hapo wewe ndo mwenye makosa, uwezo wa kuacha 20k means kwa mwezi ni kama laki6 hiyo..

Basi kaa nae chini Mwambie utakuwa unampati 10 k then unayobaki unatunza..

Baada ya miezi 4 mtakuwa na kila anachokitaka..

Sofa, kitanda na hayo mengineyo..

Swala la kupika Mwambie akufunze, anza kumfanya awe rafiki,

You are the head mkuu and not the tail.

Ulitumia ego yako utaishia kuvunja ndoa yako, na yeye Usimpe kichwa.

Be responsible and respectful na yeye atafuata tu
 
Akinifundisha kupika si ndo ego yangu itashuka kama CD4
 
Ndiyo shida hiyo mkioana baada tu ya kumaliza form 6, wote frontal lobe zinakua hazijakomaa πŸ™‚.
Enewei, jifunze kazi dogo na ufanye majukumu yako mengine kama mume.

Binti wa zamani Huyu nae aje tu umkekete na umfanyie unyago πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (hii natania).

Naona dogo kashamaliza form six na anafanya kazi private na anaacha 20k kwa siku.

Enewei , Baba mtakatifu91 pengine unajua kuwa ukiambiwa umsaidie kupika bas unajua upike kila siku na kila kitu, wakati sio hivyo.
Na hii ya kufua sio kuwa ufue nguo zake. Jitahidi uwe unafua boksa , Vest na Jeans zako mwenyewe.
Unamtesa mtoto wa watu kufua majeans na usikute hautamuoa.
Kwahiyo anamaanisha umsaidie kufua nguo hizo.

Kuanzia namba 3 hadi 7, anakukumbusha, ni muhimu uwe na ufanye hivyo mapema maana ni majukumu yako kama mwanaume.

Kama umeamua kuoa basi usikae kama unakaa na msela mwenzako.
 
Akinifundisha kupika si ndo ego yangu itashuka kama CD4
Nikiwa four four hadi pilau nilikuwa napika.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
kwetu tuko watoto wa kiume watano.
Kipind cha likizo vitu vyote vya Kihome home tulikuwa tunafanya wenyewe.
(Kupika, kufua, usafi wa nyumba, kufuga na kutunza kuku wa mayai, kulima bustani ya mboga mboga , kutunza bustani ya maua , kukaa Dukani ). Ni zamu zamu. Leo unaambiwa ww nenda kakae dukani, yule afanye hivi na yule hivi.

Kulelewa na Mama Mchaga its not a joke.
 
Binti wa zamani Huyu nae aje tu umkekete na umfanyie unyago πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ (hii natania).
Huyu nitamkeketa na kile kisu changu butu, akizidi kulia ndiyo nazidi kumega kinyama πŸ˜†
Naona dogo kashamaliza form six na anafanya kazi private na anaacha 20k kwa siku.
Anatuchota kama na sie watoto wenzake vile
Ushauri mzuri, azingatie πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…