Mke wangu anataka nimsaidie kazi za ndani

Huyo sio mkeo ni mumeo huyo
 
Umeoa mwenyewe kwa ridhaa Yako au ulilazimishwa
 
Yote hayo chanzo chake ni hapa No.5 "Anasema wanaume wenzangu mbona wanajua vingi ila mi sijui"....
 
Hizo zote mbona ni kazi za nje...
Muelewe vizuri kazi za ndani ni zipi? (Kumyoa sehemu zake zote za siri, kumpigisha mswaki, kumsafisha haja kubwa na ndogo)


Cc: Mahondaw
 
Upuuzi umnunulie tv kaja kuangalia tv hapo ??

Hasara ya kushinda na mashoga zake saloon
 
Cha kushukuru hakuingizi vidole muda wa tendo la kujamiiana
 
We umejenga ,? Tuanzie hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…