Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

marehem x

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2022
Posts
513
Reaction score
792
Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi.

Wakulungwa!!!...

Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi.

Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo.

Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na mchum kama ishara ya upendo na kuomba radhi. Na kila ninapofanya hivyo anachekacheka basi na Mimi nafuraaahi.

Inapaswa kuishi kama MTU na kuwa na huruma na sio huruma tu Upo Muda Ina bidi uivae roho mbaya.

Turudi kwenye hoja. Mke bana Hawa viumbe Wana vituko Sana. Wanapenda kitu control, japo Kuna muda Wana admit hawawez kitu control. Sasa ukutane na mke kurumbembe utakoma, mbona hujaacha Hela , mara mbona 30,000 ni ndogo mkaa je, gesi itaisha mapema nk nk nk.

Huyu wangu ameshankubali madem zangu, Kwa makubaliano kuwa Simu yangu akishika atakayokutana nayo abebe mizigo aondoke, aache.watoto abebe anajua lazima wasome na lazima wapate shule safi. Amekubaliana Kwa sabab anajua nalipa malmilioni.

Yeye ananunua vocha na bando za kimbea na kupigia mashost yanayosimulia eti mumeo anakojoa dakika ngapi.

Siku Moja akaniomba tuwe tunaweka pochi mezani mapato binafsi Kwa mwezi. Akashangaa kila mwezi haujafija nataka alete lake mezani nikiwa nishaleta langu.

Baadae akafeli yeye. Akileta kakwake kabamia.

Mytake: kina mama heshimuni wakulungwa
 
Huu uandishi unaonesha ni kiasi gani mwanamke amekuvuga hiyo akili.
 
Kama mnaelewana nyie ni mali mmoja kwa faida ya watoto wenu na ninyi mbeleni shida nini, weka pochi mezani mpange bajeti.
 
Back
Top Bottom