morning sicknesWadau nisaidieni.
Mke wangu anauja uzito wa miezi miwili hivi.
Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie nyumbani atakuwa sawa, ni ziaid ya mwezi sasa.
Nifanyeje ili atulie?
Wajuvi wa mambo please.
Kama Hospitali hakuna dawa ya kuzuia kutapika na kusikia kichefu chefu na Maumivu ya mwili wakati mke wako ana mimba tumia chai ya Tangawizi itaweza kumsaidia na kupona hayo maradhi yanayo msumbuwa mke wako. Anywe kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kila siku mpaka hapo atakapo pona.Wadau nisaidieni.
Mke wangu anauja uzito wa miezi miwili hivi.
Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie nyumbani atakuwa sawa, ni ziaid ya mwezi sasa.
Nifanyeje ili atulie?
Wajuvi wa mambo please.
Asante sana mkuu mzizi mkavuKama Hospitali hakuna dawa ya kuzuia kutapika na kusikia kichefu chefu na Maumivu ya mwili wakati mke wako ana mimba tumia chai ya Tangawizi itaweza kumsaidia na kupona hayo maradhi yanayo msumbuwa mke wako. Anywe kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kila siku mpaka hapo atakapo pona.
View attachment 368930