Mke wangu anatapika na kusikia maumivu makali sana

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Wadau nisaidieni.
Mke wangu anauja uzito wa miezi miwili hivi.
Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie nyumbani atakuwa sawa, ni ziaid ya mwezi sasa.
Nifanyeje ili atulie?
Wajuvi wa mambo please.
 
morning sicknes
anywe maji yenye tangawizi yanasaidia kidogo kuondoa hiyo hali ya kutapika.
kuwa mama ni process
 
Kawaida hiyo atarudi ktk hali yake wala usihofu
 
Wadau nisaidieni.
Mke wangu anauja uzito wa miezi miwili hivi.
Anatapika kila mara na anasikia maumivu makali ya mgongo/kiuno.
Nilienda hospital nikakutana na daktari kanambia niuanche tu atulie nyumbani atakuwa sawa, ni ziaid ya mwezi sasa.
Nifanyeje ili atulie?
Wajuvi wa mambo please.
Kama Hospitali hakuna dawa ya kuzuia kutapika na kusikia kichefu chefu na Maumivu ya mwili wakati mke wako ana mimba tumia chai ya Tangawizi itaweza kumsaidia na kupona hayo maradhi yanayo msumbuwa mke wako. Anywe kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kila siku mpaka hapo atakapo pona.
Tangawizi ni tiba ya kichefu chefu.jpg
 
Kama Hospitali hakuna dawa ya kuzuia kutapika na kusikia kichefu chefu na Maumivu ya mwili wakati mke wako ana mimba tumia chai ya Tangawizi itaweza kumsaidia na kupona hayo maradhi yanayo msumbuwa mke wako. Anywe kwa siku mara 3 asubuhi mchana na usiku kila siku mpaka hapo atakapo pona.
View attachment 368930
Asante sana mkuu mzizi mkavu
 
Back
Top Bottom