Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

Mkuu tubadiliahane mimi ni mme napenda sana animation huyu mpenzi wangu yeye ni mpenzi wa tamthilia za kifilipino na uturuki huyo dada nipe mimi kisha we njoo umchukue huyu kivuruge wangu yanii hapo kuanzia asubuhi hadi jioni ni mwendo wa animations tu mpaka watoto tutawabadili majina tuwape majina ya cartoons
 
Wewe ni Mimi kabisa
 
Wengi ni wale tuliolelewa mazingira ya kukaa ndani, upweke wetu wa kutokaa sana na kucheza na watoto wengine

😎, kumbe kuna hasara yake, ya watoto kuwafungia ndani ya gethi lenye mbwa mkali 😄
 
Mkeo
Mkeo ni wife material sana tu hujui
 
Kuna wanaume hamna jema.
Akitulia ndani kuangalia katuni na watoto shida, akiwa mzururaji wa kwenye vidogoro nayo shida.
Ni nini mnataka??
Mkuu siyo hivyo, Sasa huyu naona kama yupo addicted fulani hivi, yani bandika bandua labda umeme ukate,
 
Kawaida tu hiyo, ngoja nikutajie ninazo zipenda mimi...

-Tom and Jerry (normal).
-Bellerin.
-Pikapau.
-Makarao.(Kenya)
-Ed,Edd and Eddy.
-Masha and the bear.
-Katoto (Ug).
-Shrek
Bellerin, tom and jerry zile classic sio hizi za sasa, marsha and the bear, ziggy and sharko plus animation kibao kama pussy in the boots, rango, n.k ni poa sana
 
Subiri akianza kuchepuka hatapata muda wa kuangalia watoto, catoon hata kuimba na watoto ataacha.
Pia unasema ni kaajiriwa na anafanya majukumu yote vizuri sasa unaposema muda wote anaangalia catoon ni muda gani tena?
Wanaume wengine hovyo kabisa.
 
Huyo ana nyota na watoto, mfungulie Nursery ili acheze nao huku kipato kinaingia
Sisi tukiona mtu anapenda kitu aidha ni kupiga au kutukana

Kazi kwako
Sawa mkuu, wazo zuri sana, nikipata salio nitafanya hivyo... Kama ulivyo sema nyota yake itakuwa ya kukaa na watoto.
 

Mke wako anafanya kitu ambacho hata wewe ulipaswa kukifanya kwa watoto wako…kuwa mzazi hakuishii kwenye kutoa hela tuu…Ungepata wasaha ungewauliza wanao wanajisikiaje wakicheza au kuangalia katuni na Mama yao..?
Ni Kweli kabisa mkuu, ila kutokana na majukumu ya hapa na pale siwezi pata mda wa kucheza na watoto kwa mda mrefu.. Asante kwa ushauri, 🤝🤝

NB:Maoni yangu yabaki kama yalivyo kama hii story ni ya kweli….
Maoni yako yatabaki kama yalivyo mkuu, maana yana ujumbe wa malezi ya watoto na familia kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…