Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA