Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Your are rightPole saana, hizo ni mimba za mwanamke mwenye mume au mchumba
Zile mimba ambazo hazina Baba wala mchumba hazInaga mauza uza
Sisi waganga wa mwituni tunasema hiviWakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA
huu ushauri umechukuliwaSisi waganga wa mwituni tunasema hivi
1. Asile chakula cha moto kwani kinatoa harufu na kuzidisha kichefu chefu
2. Asile chakula chenye sukari
3. Asile chakula cheny mafuta mengi( oily food) hasa hivi vyakula vya kukaanga chips, mshikaki ana the likes.
4. Ahakikishe hanywi maji au soda wakati wa kula.
5. Ajitahidi kuka mlo mlo mdogo mdogo kadiri awezavyo...asishibe.
6. Wakati wa kuka ahakikishe amekaa upright, mtindo wa kula au kutafuna kitu akiwa amelala kwenye kochi aache.
Hali ikizidi muone daktari.
bora hiyo mtu anaumwa had ana baki kulala tu😎Mbona kawaida hiyo!
Bado hujayaona mengi mengine kama kutamani udongo wa Kisarawe mara Vigwaza, na ukiuleta anauonja na kudai siyo mtamu unanuka vumbi.
AureusKwa ujauzito wa kwanza tena mchanga namna hio huyo mke wako ana afadhali.
Kuna wengine mpaka wana lazwa hospitali kwa sababu ya maudhi ya ujauzito.
Hadi mwezi wa tatu hali itakuwa sawa, na bila ya shaka mtoto atakuwa wa kiume, huwa wanasumbua sana wakiwa tumboni mwa mama zao.
Ha ha ha !😂😂KwakweliHuyo mtoto atakuja kuwa mwanasiasa
Mama? 26Ana umri gani mkuu?
mmmhMpe pizza and the like vyakula expensive vya kizungu, atakula hatatapika, labda tumbo kuuma