Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Karibu Mkuu, i hope itamsaidia sana. Haimalizi tatizo ila inaleta nafuu.huu ushauri umechukuliwa
AiseeeKama ni mimba ya kwanza ni kawaida..kuwa na amani
Aamke usiku kunywa maji ??Kuna muda usiku wa manane atajisikia nafuu, huo muda ndiyo ale anywe maji. Hiyo hali itaenda mpaka mwezi wa nne.
Mimba ya kwanza mara nyingi inasumbua kutokana na mabadiliko makubwa ya homoni, kimwili, na kihisia ambayo mwili wa mwanamke unapitia kwa mara ya kwanza. Sababu kuu ni:Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA
Mkuu ushasema anatapika Kila anachokula sasa hizo nguvu za kutembea atazipata wapi?Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA
Naunga mkono hojaSisi waganga wa mwituni tunasema hivi
1. Asile chakula cha moto kwani kinatoa harufu na kuzidisha kichefu chefu
2. Asile chakula chenye sukari
3. Asile chakula cheny mafuta mengi( oily food) hasa hivi vyakula vya kukaanga chips, mshikaki ana the likes.
4. Ahakikishe hanywi maji au soda wakati wa kula.
5. Ajitahidi kula mlo mdogo mdogo kadiri awezavyo...asishibe.
6. Wakati wa kulz ahakikishe amekaa upright, mtindo wa kula au kutafuna kitu akiwa amelala kwenye kochi aache.
Hali ikizidi muone daktari.
Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA
Alipelekwa akapewa tu Oral oss yale ya kuchanganya kwene maji kwa mtu ambae anaharishaPole sana.
Mwanamke akiwa na mimba kuna mabadiliko mengi ambayo hutokea mwilini mwake. Mojawapo ya mabadiliko hayo ni kuwa na kichefuchefu na kutapika.
Mwanamke kutapika (emesis) wakati wa ujauzito ni kawaida na huonekana sana mimba ikiwa changa, yaani kuanzia wiki 0 mpaka wiki ya 12 ndipo inapungua au kuisha kabisa.
Hata hivyo hali hii ya kutapika (emesis) inapokuwa kuwa kali sana kiasi kwamba mwanamke hutapika chochote anachoingiza kinywani huitwa Hyperemesis Gravidarum na huambatana na dalili kama kichwa kutuma, kizunguzungu, uchovu, moyo kwenda mbio nk.
Ukali au viwango vya Hyperemesis Gravidarum hutofautiana toka mwanamke mmoja hadi mwingine na mimba moja hadi nyingine.
Kama mwanamke ana Hyperemesis Gravidarum basi cha kwanza ni kumhakikishia kwamba hiyo hali itaisha na kwa wale ambao hutapika chochote anachokula ni lazima aende hospitali alazwe ili atibiwe mpaka kutapika itakapopungua au kuisha. Hyperemesis Gravidarum hupungua na kuisha yenyewe kadri mimba inavyokua.
Kwa hiyo mpeleke hospitalini akapatiwe matibabu mpaka atakapoweza kula au kutapika itakapopungua kabisa.
Kila la kheri.
Alipelekwa akapewa tu Oral oss yale ya kuchanganya kwene maji kwa mtu ambae anaharisha
Siyo akinywa hatapiki walimpa ili kusaidia kupoteza maji anayopotezaOk, sawa
Kama anaweza kunywa maji na hatapiki basi aendelee tu, lakini kama anatapika kila kitu anachokula basi huyo lazima alazwe ili atibiwe mwili uwe na nguvu na kutapika ikipungua na kuweza kula na kunywa basi ataruhusiwa.
Kwa umri huu tayari amepevuka, Kuna uwezekano akawa ananyongo nyingine tuseme acid reflux anaweza kwenda kupima hospital kwa udhibitisho hivyo asile vyakula vyenye sukari nyingi na asidi nyingi mf. Maharagwe nk pia mtafutie fennel saga mchanganyie kwenye chakula chake kijiko kimoja Kila wakati akipata chakula. Mbadala wa sukari ni asali na tende pia tende huweza kutengezwa nakuwa sukari "date sugar". Usimpe dawa yeyote bila kuwasiliana na dk cos huyo ni mjamzito asije abort. Fennel ni kiungo hakuna shida ok. Waweza ipata kwenye masoko makuu au super market. Be strong.Mama? 26
Hiyo itakaa sawa maana hata mke wangu alivyopata mimba ya kwanza kila alichokuwa anakula ni kutapika ikafikia tukawa tunalala na ndoo pembeni, ikaenda mbali zaidi akawa anatapika mpaka damu.Wakuu,
Nimeona mimba nyingi ila hii ni aina yake.
Huyu mwanamke ndo mimba yake ya kwanza lakini sasa
Anatapika kila anachokulaaa anatapika chakula kinaisha had anatapika maji hamna kinachotoka.
Muda wote. Tumbo linamuuma na kumvuruga muda woteee.
Hawezi kutembea hawezi kufanya kazi wala hawezi chochote. akitembea anahisi kizungu zungu ,moyo kwenda mbio na hana nguvu kabisa.
Alienda hospital wakasema hawajaona kitu labda ni hyo mimba.
Lakini wakuu ni mimba gani ya hivi hasa ukizingatia ina MWEZI TU MMOJA
Kuna muda ndani ya masaa 24, huna unasikia nafuu kubwa, ndiyo ale kidogo, anywe maji. Kuna mtu alikuwa anaumwa hawezi kula chochote wala kunywa. Ila ikifika saa 8 usiku akistuka anakuwa na nafuu kubwa. Hapo anakunywa maji lita moja anatapika. Atasubiri kidogo anakunywa teena lita na nusu yanabaki.Aamke usiku kunywa maji ??
au na kula pia
Mkuu nimekusoma asante kwa ushuhudaKuna muda ndani ya masaa 24, huna unasikia nafuu kubwa, ndiyo ale kidogo, anywe maji. Kuna mtu alikuwa anaumwa hawezi kula chochote wala kunywa. Ila ikifika saa 8 usiku akistuka anakuwa na nafuu kubwa. Hapo anakunywa maji lita moja anatapika. Atasubiri kidogo anakunywa teena lita na nusu yanabaki.
Anakula na vitu vidogo vidogo analala. Kesho anaumwa teena asubuhi hivyo hovyo.
Ilip9maliza miezi mitatu, na kuanza mwezi wa nne ile tarehe za mwanzoni akawa na nafuu kubwa