Niomi kaka
Member
- Feb 28, 2025
- 66
- 131
anasita kwenda hospitalAchana na "WATARAMU" nenda hospital yoyote karibu yako utakupata ushauri kwa wataalamu wa afya.
Anasita kwa sababu gani ? Umeshawahi muuliza ukapata jibu?anasita kwenda hospital
Boya tena kwani wewe si mbongo au nyani haoninonihino lake?Sema wabongo mna penda kuishi Kwa mazea, aisee we boya nenda hospital.
habari zenu,,,
naombeni ushauri wenu wataramu wa afya,, yapata mwezi sasa tangu nianze kuishi nae rasimi kama wana ndoa. amekua akitokwa na damu ukeni kila ninapo shiriki nae tendo la ndoa mwanzozi nilidhani itakuwa ameingia period pasipo kujua na nilipo muuliza alidai nayeye anawaza kama mimi lakini chaajabu ilikua niya siku moja ikakata lakini baada ya siku tatu tuka shiriki tena, chaku shangaza ile hali ikajirudia tena nika mwambia itakua anashida twende hospital lakini chaajabu nikama hayuko tayari. hivi shida itakua nini?
Hajatoa mimba?anasita kwenda hospital
Sababu ya 3,232 ya kukataa kuoa hiyo.Sema wabongo mna penda kuishi Kwa mazeoa, aisee we boya nenda hospital.
Pole mkuu bora damuhabari zenu,,,