Mke wangu anatokwa damu kila tukifanya tendo la ndoa

Ana infection au ni dalili ya cancer ya sehemu za uzazi,kizazi au mlangoni WA kizazi.nendeni hosptal
 
Possible outcome
1.amefanya abortion
2.PID? ILA kama ni pid lazima iambatane na harufu kali.
3.njia ya uzaz wa mpango...alikua anatombeka freely



Ila asilimia kias inaweza kias ni uhakika katoa mimba thats why anaogopa kwenda hospital.
Hakuna mimba mkuu kapigwa kitu kizitoo

Atafuta mtalalm amsomee surrath kulbandill
 
Ahhh..nafikiri hapo hakuna haja ya pole.
Suala la kwanza ni Hospitali. Hii haihitaji mjadala wala sijui hajisikii. Ni lazima.

Pili ni maongez ya kina, what is going on. Chochote unaweza qnza nacho ila yote ni ya LAZIMA
 
Mpeleke shemeji hospitali bila kuchelewa, hiyo yaweza kuwa dalili ya saratani ya shingo ya kizazi. Akichelewa matibabu unaweza ukampoteza.
 
Sindano za kuzuia mimba....vibleed Kila usekunde...
Hii mbaya sana
 
Pole sana, vijana wa siku hizi bongofleva sana. Inaonekana kila ukimwambia twende hospitali akisema siendi basi unasema sawa wife usijali!

Siku ukiwa na muda, toa taarifa kwamba, mke leo jiandae twende hospitali kwa sababu tusipotibu huu ugonjwa ukakomaa maana yake familia nzima itaathirika. Habaki mtu ndani leo, ni hospitali tu!

Kuna muda wanawake akili zao kama watoto, unakuta mwanamke mzima mvivu wa kunywa dawa
 
Ametupiwa Jini-MAKATA huyo...mlete Simiyu huku chapu atapona..Jini tunamrudisha kwa aliyemtuma.....hata kama ni 'ME' yeye damu itakuwa ina vuja inyeni kwa yeye.
 
Bro hili suala ni la kuketa hapa? hiki ni suala la afya ni muhimu sana tena kwa uharaka mpeleke hospitali
 
Vifo vingi vinavyoitwa vya ghafla bongo huwa havina ghafla yoyote.

Watu wanakaa na dalili za magonjwa bila kuchukua hatua kwa wakati hadi wawe hoi.
 
Hivi hizi lugha za kumuandaa mwanamke mnazitoaga wapi??,mwananmke mwenye hisia nawe na asio fanya ngono kila wakati mkionana tu lazima anaanza kuloa hata kabla hujafanya sex
 
Hivi hizi lugha za kumuandaa mwanamke mnazitoaga wapi??,mwananmke mwenye hisia nawe na asio fanya ngono kila wakati mkionana tu lazima anaanza kuloa hata kabla hujafanya sex
Sina hakika kama unafaham kazi za estrogen, testosterone, and oxytocin katika mwili wa mwanamke na ujue kila mwanamke ana ratio yake tofauti na mwingine. Kwa kukusaidia tu; Wanawake takribani 20% wapo very active (hao unaosema), waliobaki kama 50% wapo standard wanahitaji kuandaliwa kawaida na waliobakia 30% wapo very low; wanahitaji maandalizi ya kujituma kwelikweli; na ndio waaminifu kwelikweli, ukimuoa ILA kazi unayo ya maandalizi.
 

Je kabla ya ndoa ulishawahi kumdinya?
Kama bado basi huyo anakuogopa, inawezekana hiyo ndoa pengine umemlazimisha kwahiyo nafsi yake haijdharia ndo maana hisia hazipo kinachopelekea nyege zisipande..
Nyege zikipanda hufanya ukuta wa uke kutanuka na kuwa laini huku utelezi ukitolewa tayari kwa dushelele kufanya vurugu zake.. Maana utelezi huletwa na Homoni tofauti ambazo huleta shauku na matamanio..

AU.
Kama umekuta bikra basi ni mgeni kwenye huo ulimwengu wa minyanduano , kwahiyo anahitaji kuvumiliwa akifundishwa na kupewa somo kidogo kidogo,, kama una ndugu wa kike mtu mzima karibu yako mmepeleke amsawazishe hisia...

AU
Kama ulishawahi kula mzigo na hicho kitu kimeanza siku za karibuni basi huyo ana maambukizi haswa kwenye shingo ya kizazi,, wakristo wanaiita "CERVICITS"..
Ungekuwa na vifaa vya kutanulia huko mferejini kwake ungeona hiyo shingo ya kizazi labda kimevimba na kimekuwa chekundu..
Mpeleke tu hospitali akatibiwe au ukiwa mlimwengu kama sisi hata baada ya kula hizo dawa za kizungu awe mpenzi wa Chai ya Tangawizi, Kitunguu Swaumu na Amdalasini... Vile vile asisahau kula Parachichi mara kwa mara..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…