Mke wangu anatokwa damu ukeni - naombeni ushauri

kyimo rungwe

Member
Joined
Jan 17, 2014
Posts
72
Reaction score
25
Wana Jf.

Mke wangu ni mjamzito kwa sasa. Ajabu ni kuwa ana tatizo la kutokwa damu sehemu zake za uzazi, tatizo ni nini? Anatakiwa kufanya nini?

Tafadhali naombeni ushauri wadau.

Asanteni.
 
samahani lkn naombeni msaada wenu kabla tatizo halijawa kubwa
 
Mkuu mwanamke anaweza kupata hedhi atakama ni mjamzito
 
Ana ujauzito wa muda gani?Hali hio imenanza tangu lini?Ana maumivu yoyote?
 
Kutokwa na hedhi sio kawaida wakati wa ujauzito..nenda hospitali akachekiwe acha kupoteza muda hapa..
 
Kutoka damu kipindi cha ujauzito si kawaida ni DALILI ZA HATARI,amuone Dr haraka
 
Kyimo Rungwe muone Dr Faster hilo sio swala la mzaa inapokuja mjamzito kuvuja damu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…